Rahma Nyusi
Member
- Jun 3, 2015
- 73
- 9
Jamani naombeni msaada wenu,nataka niwe naangalia tv live kama TBC1,clouds tv na nyinginezo kwakutumia simu yangu ya android.
Natumia Tecno Boom J7
Msaada wenu tafadhali
download simu tv kweny play store
Rahma nimependa nyusi zako, bado unatumia ile namba ya tigo nikicheki?
ndo jinsi ya kupata tv kwemyesimu ya anroid??????
just jocking
Watu wengine hawako serious,wewe kama unaona jambo hulijui bora upite tu kuliko kuongea mambo yasiyo husu mada husika
Ndugu kukariri kubaya. Sasa simutv na mavideo ya youtube yanatifauti gani.download simu tv kweny play store
Download mobdro from mobdro.com
Channels kibao at a zile za DStv
Hii mobdro unaipata wapi playstore au google
Tunaeza kupata live tvs? Hata za bongo?Wakuu hii mobdro Iko vizuri sana!
Tunaeza kupata live tvs? Hata za bongo?
Mkuu Mnafu nawewe umeona? KODI inakula MB balaa...Ingawa nafikiri KODI inafursa nyingi na muonekano safi zaidi kama HD n.kTV Za Bongo hakuna. Nimetafuta sikuzipata.
Halafu nimeona hii kitu inakula bando taratibu kulinganisha na Kodi!