Jinsi ya kuangalia Laptop kati ya msichana na mvulana.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
Msichana ye atangalia ifuatavyo:
-Color
-Size
-Camera


Mvulana atangalia ifuatavyo:
-RAM
-Graphic Card
-Processor
-Cache
-Display Size
-Backlist Keyboard
-HDMI port
-Clock Speed
-Battery
-No. Of RAM slots.
bbebbafc0a3c09f7ec7dada084308050.jpg
 
uko sahihi ila kwa mujibu wa mada yako imeonekana msichana yupo makini zaid sababu ataangalia rangi camera na size na hapo kwenye size ndio size ya ram ya processor ya graphic card ya diplay ya battery n.k

PONGEZI ZIWAFIKIE GIRLS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom