Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Habari wana JF, Leo ningependa kutoa somo hili fupi la jinsi ya kuangalia kama barua pepe yako imedukuliwa. Najua usalama wa mtandao ni kitu cha msingi sana na ni ngumu sana kujiweka salama mtandaoni kwa asilimia 100.
Kuliona hilo unaweza kuanzia hapa kwa kujifunza hapa jinsi ya kuangalia kama barua pepe yako imedukuliwa na ni jinsi gani unaweza kuendelea kujiweka salama kwenye akaunti unazo tumia barua pepe hiyo.
Kupitia video hii utaweza kujifunza [HASHTAG]#Maujanja[/HASHTAG] jinsi ya kuangalia kama barua pepe yako au Email ime dukuliwa au kuwa Hacked, Njia hii ni rahisi sana na ina kuhitaji kuwa na internet kwenye kifaa chako.
LINK ZA MUHIMU
1. Tembelea Hapa kuangalia barua pepe yako - Have I Been Pwned: Check if your email has been compromised in a data breach
2. Jifunze Jinsi ya kuweka Two Factor Authentication - Jinsi ya Kuzuia Mtu Kuhack Instagram, Facebook na Twitter [HASHTAG]#Maujanja[/HASHTAG] 63
3. Pakua App ya Tanzania Tech Hapa - Tanzania Tech