4.Prioritirtation, hik ni kitu cha mwisho cha kuzingatia katika project identification. hapa utachagua na kupanga vitu vya kuvipa kipaumbele. na kuna vigezo utakavyozingatia katika kutoa kipaumbele. vigezo hivyo ni kama;1. wing wa watu na ukubwa wa eneo utakaothirika na huo mrad 2. Suala la uchumi, nchi, mkoa au kata itanufaika au itapata hasara, wanach wa eneo hilo watanufaika vipi kiuchumi kutokana na mrad huo? 3.Mazingira, huo mrad utatunza na kulinda mazingira au utaharibu? 4. Hal ya Kijamii, itapunguza umaskin? 5. Sera, je unachokifanya kinaendana na sera ya nchi? 6. Rasilimal, zipo za kutosha kutekeleza mradi? 7. una Support kutoka kwa jamii na wanasiasa? hao wat wana nafas ya kufanikisha au kuzima project yako. Baada ya kumaliza hatua hizo katika project identification. andaa kitu kinaitwa concept. hapo utaorodhesha data muhimu ulizopata baada kujiuliza yale maswal.yasiwe maelezo maref just summary. hiyo summary utawaonyesha wanaokufadhil katik mradi ili japo idea ya kinachoendelea. inaendelea.