Jinsi ya kuandika muongozo wa biashara(business plan) ushauri unahitajika

newbegin

Senior Member
Jun 3, 2016
109
16
Salaam
tafadhari naombwa kujuzwa je katika uandishi wa business plan ni lazima iwe

* kwa lugha ya kiingereza?

*ni lazima kwenye zile calculations jinsi ya kuproject future sales ziwe katika mfumo wa Accounting?

MIMI NINAVOELEWA

ni kwamba business plan inaweza kuandikwa kwa lugha yoyote ile na upande wa mahesabu kwenye kuproject ukaweka mahesabu katika mfumo wa kawaida ili mradi tu yawe yamepangwa vizuri navyanaeleweka.

naomba mwenye kuelewa zaidi hii kitu anieleweshe kama niko sahihi au lah na nifanyeje?
 
Mnh na mm ngoj nsubirie kujuzwa mambo haya yko vipi, mana nam pia sijui
 
unaweza kutumia lugha yoyote itakayoeleweka na unayemlenga.
 
Back
Top Bottom