Heritage123
Member
- Jul 24, 2023
- 51
- 100
Landing page ni sehemu ya kwanza mteja anakutana nayo — kama mlango wa duka lako. Ukiwa boring au usioeleweka, hataingia ndani. Hii hapa ni formula ya kuandika landing page kali, inayo-convert kwa kutumia psychology ya mteja wa kibongo au wa mtandaoni:
✅ Sifa nzuri ya headline:
“Jifunze Jinsi ya Kupata Wateja 10+ kwa Wiki Kupitia Facebook Bila Kuweka Hela Kwenye Ads”
Mfano:
“Umechoka kupost kila siku bila response? Biashara yako si mbaya — haijulikani tu.”
Mfano:
“Wafanyabiashara wengi wa mtandaoni wanahangaika bila mwelekeo. Wanatumia muda mwingi kupost, lakini bado hawapati wateja. Sio kosa lako. Ulikosa mfumo sahihi wa kutangaza.”
Mfano:
“Hii ndio kozi itakayokufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kuandika matangazo yanayoleta wateja kupitia Facebook na Instagram — hata kama hujawahi kufanya matangazo kabla.”
Mfano:
Before: Hakuna wateja, likes 3, inbox kimya.
After: Message kila siku, orders hazikai pending, confidence imepanda.
Mfano:
✅ Zaidi ya watu 300 wamepita kozi hii
✅ 97% wameripoti kuanza kupata mteja ndani ya siku 5
Mfano:
👉 Bofya hapa kujiunga sasa
👉 Andika “KOZI” kwenye WhatsApp
👉 Lipa kupitia Lipa Namba hii: 123xxxx
Mfano:
⏳ Nafasi 25 tu kwa bei hii
🔒 Bei inapanda kesho saa 12:00 jioni
Tumia spacing, bold, bullet points, na subheadings ili mtu aweze kuchungulia na kupata point haraka.
1. HEADLINE YENYE KUKAMATA AKILI
Hii ndio sehemu muhimu zaidi ya landing page. Asilimia 80 ya watu husoma headline tu.✅ Sifa nzuri ya headline:
- Iwe specific na ina ahadi (promise)
- Iwe rahisi kuelewa ndani ya sekunde 3
- Iguse pain au desire ya mteja
“Jifunze Jinsi ya Kupata Wateja 10+ kwa Wiki Kupitia Facebook Bila Kuweka Hela Kwenye Ads”
2. OPENING HOOK — WAHI HISIA ZA MTEMBELEAJI
Hapa unauliza swali au unatupia statement kali inayomgusa mteja emotionally.Mfano:
“Umechoka kupost kila siku bila response? Biashara yako si mbaya — haijulikani tu.”
3. ELEZEA TATIZO LA MTEJA (Show You Understand Them)
Watu hawanunui bidhaa — wananunua suluhisho la matatizo yao. Onyesha kuwa unaelewa wanachopitia.Mfano:
“Wafanyabiashara wengi wa mtandaoni wanahangaika bila mwelekeo. Wanatumia muda mwingi kupost, lakini bado hawapati wateja. Sio kosa lako. Ulikosa mfumo sahihi wa kutangaza.”
4. TOA SULUHISHO — INTRODUCE PRODUCT AU SERVICE YAKO
Taja bidhaa yako na jinsi inavyotatua tatizo hilo.Mfano:
“Hii ndio kozi itakayokufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kuandika matangazo yanayoleta wateja kupitia Facebook na Instagram — hata kama hujawahi kufanya matangazo kabla.”
5. ELEZEA FAIDA KWA MTINDO WA “AFTER vs BEFORE”
Toa picha ya maisha ya mteja kabla ya kutumia bidhaa yako na baada.Mfano:
Before: Hakuna wateja, likes 3, inbox kimya.
After: Message kila siku, orders hazikai pending, confidence imepanda.
6. TUPIA SOCIAL PROOF (Testimonials au Number Facts)
Watu wanaamini kile wengine wameamini. Onyesha ushahidi.Mfano:
✅ Zaidi ya watu 300 wamepita kozi hii
✅ 97% wameripoti kuanza kupata mteja ndani ya siku 5
7. WEEK CTA — WAAMBIE KITU CHA KUFANYA SASA
Call To Action ni agizo — sio ombi. Waambie wafanye nini next.Mfano:
👉 Bofya hapa kujiunga sasa
👉 Andika “KOZI” kwenye WhatsApp
👉 Lipa kupitia Lipa Namba hii: 123xxxx
8. ONGEZA URGENCY & SCARCITY
Weka haraka kidogo — watu huchelewa bila pressure.Mfano:
⏳ Nafasi 25 tu kwa bei hii
🔒 Bei inapanda kesho saa 12:00 jioni
🔁 BONUS: KITU KIMOJA CHA KUEPUKA
Usiandike paragraph ndefu zisizoisha.Tumia spacing, bold, bullet points, na subheadings ili mtu aweze kuchungulia na kupata point haraka.