Inawezekana.... unatakiwa Kuanza Na Herufi Kubwa Ya Jina Then Lnatokea Jna Lake Unalichagua... ila Hii Njia Kwenye Simu Sio Kila Simu!! inatakiwa Utumie Application Ya Facebook Ila Ni Kwa Androind Na I Phone ... au Windows Phone!! ila kwa Windows Phone Na I Phones hata Ukitumia Built In Browser Kama Safari Na Internet Explore znaweza Fanya Hyo Kitu Ila Opera Ya Simu Haiwezi