mama lubango
Member
- Aug 16, 2011
- 56
- 8
Eti jaman kule fb nawezaje kuweka link ya jina la mtu kwa mfano huku naweza kuweka mama lubango je kule inawezekana kama natumia simu?
Last edited by a moderator:
Eti jaman kule fb nawezaje kuweka link ya jina la mtu kwa mfano huku naweza kuweka mama lubango je kule inawezekana kama natumia simu?
me huwa nikianza kuandika jina lake tu linatokea kwa mbele.
naomba unielekeze na mm hapa jf unaandkaje jina la mtu???