Jinsi ya kuactivate Window 10

Jinsi ya kuactivate Window 10

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Posts
425
Reaction score
746
Nimeona watu wengi wanatumia PC ambayo inahitaji window activation, sasa nikaona niwafahamishe namna ya kufanya activation.

Ili kuactivate window 10, fuata hizi steps
1. Nenda kwenye search then type "Run" then click
2. Kuna kibox kitatokea, utaandika neno "regedit"
then click OK, click YES

3. Click HKEY_LOCAL_MACHINE
4. Click SYSTEM
5. Click "CurrentControlset"
6. Click "Services"
7. Click "svsvc"
8. Baada ya kuclick "svsvc" katika step no 7, Upande wa kulia utaona kuna list inatokea click "start"

9. Baada ya kuclick start, utaona dialog box imetokea, kwenye Value data andika 4 then click OK

10. Baada ya hapo Restart pc yako, hapo utakuwa tayari umeactivate window yako
 
Kwa window u procedures ni kama hiz au?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Habari

Samahan nimejaribu hivyo lakin bado haijakubali kuwa activated...
 
Naomba pia jinsi ya ku actvat kwenye win 11 hata kama kuna software

Microsoft toolkit naona imegoma kwenye window 11 ila 10,8,7 ina actvat fresh
 
Back
Top Bottom