Kwanza inabid uwe na tool kwa ajili ya kuflashia simu. Hasa hizi box kama volcano ila kwa urahisi wa hyo samsung tafuta odin itakufaa sana. Pia ingia kwenye mtandao uone kama samsung wameahawah ku release update ROM ya note one kuja Ver. 5.0 kama iyo update ipo basi pakua na fuata procedures kama hakuna basi cheki kama kuna CUSTOM ROM, hiz sio official rom ni rom ambazo zimetengenezwa na local developers hivo sometimes sio rom za kuaminika sana maana zinaweza ua simu ila sometimes work correct na huwa zina mbwembwe sana. So ukiipata pakua na fuata procedure za kuupgrade
Do it at your own risk