Jinsi ya ku-unlock simu za Voda

Jinsi ya ku-unlock simu za Voda

sergey

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
217
Reaction score
55
Wasalam wandugu!
Ningependa kujua kama inawezekana kutatua hili. Simi yangu ni huawei cun l21 hizi za voda kila nikijaribu kubadilisha line namba 1 niweke airtel badala ya voda ambayo naweka line 2, simu inataka niweke unlock pin
. Nataka kujua kama inawezekana kupata hizo unlock pin
 
Me siyo fundi, naomba msada
 
Me siyo fundi, naomba msada

Kama ni msaada unautafuta kwamba BURE basi endelea kusubiri. Ila kama utakuwa na computer yenye access na internet na utakuwa tayari kugharamia gharama kidogo nakukaribisha PM.
 
kwa nini usitoe büre apa apa au huelewi maana ya neno msaada
 
Wasalam wandugu!
Ningependa kujua kama inawezekana kutatua hili. Simi yangu ni huawei cun l21 hizi za voda kila nikijaribu kubadilisha line namba 1 niweke airtel badala ya voda ambayo naweka line 2, simu inataka niweke unlock pin
. Nataka kujua kama inawezekana kupata hizo unlock pin
Unaweza ukanunua unlock pin code mtandaoni kwa kutumia imei namba ya simu yako, au ukafanyiwa direct unlock kutoka kwa mtu anaetoa huduma hiyo bila ya kumfuata.
 
Kama ni msaada unautafuta kwamba BURE basi endelea kusubiri. Ila kama utakuwa na computer yenye access na internet na utakuwa tayari kugharamia gharama kidogo nakukaribisha PM.

ngozi nyeusi ikijua kitu ni balaa au ndo hali ngumu ?? fungua thread unaomba msaada basi tujue moja
 
Back
Top Bottom