Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
Tukija kwenye swala la network hakuna jambo la msingi kama kuweka network yako katika hali ya usalama. Tunapoongelea usalama wa network kwa kawaida wengi wetu huwa tunafokasi kwenye usalama wa router na kubloki trafiki za nje na mara nyingi huwa tunasahau kuweka switch zetu katika hali ya usalama. Switch mara nyingi huwa zinatumika kwenye network ya ndani na zimetengezwa katika mfumo ambao unarahisha katika uunganishaji na utumiaji, hivyo mara nyingi switch huwa haziwekewi security yoyote na kama zikiwekewa basi huwekewa security yenye kikomo.
Ili kuhakikisha kuwa switch na network yako vinakuwa katika hali ya usalama ni vyema kuweka security features zifuatazo ili kuhakikisha kuwa watu wenye idhini ya kutumia switch hiyo ndio watakaokuwa na uwezo wa kuitumia.
Imetayarishwa na kuandaliwa na: Young Master
Copyright © Young Master, 2013. All Rights Reserved

- Secure switch yako physically
- Weka password kwenye switch yako
- Wezesha SSH access
- Zuia HTTP access
- Zuia ports ambazo hazitumiki
- Ports Security
- Zuia Telnet
Imetayarishwa na kuandaliwa na: Young Master
Copyright © Young Master, 2013. All Rights Reserved