MSATULAMBALI Senior Member Apr 1, 2012 187 55 Dec 1, 2013 #1 nimesafiri na kadi yangu ya dstv ili niendelee kutumia kifurushi changu cha premium sasa nimefail kupair ....msaada please Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
nimesafiri na kadi yangu ya dstv ili niendelee kutumia kifurushi changu cha premium sasa nimefail kupair ....msaada please Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
juan david JF-Expert Member Jan 23, 2013 3,577 5,014 Dec 1, 2013 #2 Hapo inabid uwasiliane na huduma kwa wateja coz wakat unanunua hua wanarecord namba ya decoder kwa niaba ya kuepuka wezi wanaoiba smartcard
Hapo inabid uwasiliane na huduma kwa wateja coz wakat unanunua hua wanarecord namba ya decoder kwa niaba ya kuepuka wezi wanaoiba smartcard
Chipukizi JF-Expert Member Mar 12, 2009 3,960 5,993 Dec 1, 2013 #3 Dstv tu ndo wanawaze kufungisha ndoa ya new decoder and smart card.wasiliana nao wakusaidie