Jinsi ya ku pair dstv smartcard na decoder tofauti

MSATULAMBALI

Senior Member
Apr 1, 2012
187
53
nimesafiri na kadi yangu ya dstv ili niendelee kutumia kifurushi changu cha premium sasa nimefail kupair ....msaada please

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hapo inabid uwasiliane na huduma kwa wateja coz wakat unanunua hua wanarecord namba ya decoder kwa niaba ya kuepuka wezi wanaoiba smartcard
 
Dstv tu ndo wanawaze kufungisha ndoa ya new decoder and smart card.wasiliana nao wakusaidie
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom