Jinsi ya ku ondoa write protection kwenye flash disk

Felice1

Senior Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
106
Reaction score
142
Wakuu habari? Nashindwa kuondoa write protection kwenye flash disk. Yaan ukiingiza faili kwenye flash haiku bali. Kwa mwenye uelewa tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…