Jinsi ya ku-monetize you tube channel

Jinsi ya ku-monetize you tube channel

Weston Edgar

Member
Joined
Feb 19, 2019
Posts
7
Reaction score
2
Jamani wanajamvi, je ili niweze kumonetize you tube channel yangu, hiyo channel yenyewe inahitaji iwe na vigezo gani?
 
Lazima uwe na Subscribers 1000 pamoja na masaa 4000 ya kutazamwa kwa maudhui yako (watching time) ili uweze kuingia kwenye mfumo wa kifedha (Monetization). Na hii ni ndani ya miezi 12.


Lazima ufungue akaunti ya Google Adsense. Hii ndio inayoratibu mfumo mzima wa malipo ya kazi yako. Hapa ndipo uatakapochagua mfumo wa kupokea pesa na ndipo utakapata PIN yako ya kuratibu malipo ya fedha zako.


Kwa msaada Zaidi karibu PM
 
Lazima uwe na Subscribers 1000 pamoja na masaa 4000 ya kutazamwa kwa maudhui yako (watching time) ili uweze kuingia kwenye mfumo wa kifedha (Monetization). Na hii ni ndani ya miezi 12...
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri
 
Screenshot_20220524-124013.png
 
Back
Top Bottom