Mpelekee IT wa halmashauri. Acha utukutuku na sifa za kijinga utafungwa.
kWachina ile string wameificha, inahitaji mwenye mamlaka ilibakikosea ni kiufundi.
Kaz hiyo ina involve kubonyeza power button kwannguvu simultaneously na volume up or down...kwa nguvu sana bila kuachia after few seconds unaachia switch huku ukiendelea na volume, sasa hiyo nguvu inayotumika ukivunja ni kesi na Mwl husika hatakuelewa