Jinsi ya ku-export gari nje ya nchi

FARU JEURI

JF-Expert Member
Sep 4, 2015
377
299
Habari ndugu zangu nina friend wangu anaomba msaada kuna procedure gani inahitajika ku-follow ukihitaji kusafirisha gari kutoka tanzania hadi botswana??
 
unapotoka exit boarder, Tunduma unatakiwa uwe na kadi ya hiyo gari kuna fomu utaijaza ambazo ni maelezo kutoka katika hiyo kadi ni fomu moja tuu then ukimaliza utasaini utapewa hiyo fimu moja kwa ajili ya kuingianayo Zamvia ili kupata fomu yai ya Transit na kulipia toll fees,insurance kuna tizo aina nne pale sema sijajua aina ya hiyo gari kubwa au ndogo then hizo ulizozipata Nakonde utakapofika Livingstone boarder ambayo ndio unaingia Botswana usisahau kujaza form pale na kuonyesha gari imetoka Zambia inaingia Botswana..Kazungura boarder upande wa botdwana unampa Agent ni kama usd 50 hivi yeye atalipia bima,tozo ya barabara kama unapita au unaenda kutembea Botswana lakini kama gari ingia Botswana moja kwa moja utamwambia agent ili aingize kwenye system yao ya makadilio ya kodi unaruhusiwa kuondoka na gari na kodi utalipia Gaborone au mji wowote ambao utafikia utapewa siku kadhaaza kukamilisha hayo malipo...
 
uwe na invoice ya manunuzi ya hiyo gari unapotoka huko unalipa kodi kutokana na invoice ilivyoandikwa...nadhani utakua umepata picha Zambia kumbuka kufuata sheria funga mkanda hata abiria wako wa nyuma na uende kufuata speed zinavyoonesha wakali sana wale jamaa....
 
Back
Top Bottom