Well kuna njia kama tatu hivi (ninazojua mimi),
1. NI direct download, hapa unasearch unachokita kwenye wensite husika na kama wanaruhusu kudownload unadownload directly, mfano hulkshare,com, 4shared.com, mediafire.com, pdfdatabase.com, filestube.com na nyinginezo
2. unatumia download softwares kama vile Internet Download Manager, hapa utahitaji program husika kama hiyo niliyotaja apo juu, ni nzuri in grabber yaani inaweza kudaka vitu vyote downloadable kama muziki, video na vinginevyo
3. Kwa kutumia torrent, hapa utahitaji torrent program (Peer to Peer application) kama vile bittorrent,utorrent au vuze. Utasearch unachotakiwa kufanya ni kusearch torrent (kafaili kadogo, hakazidi kb100) kutoka google au torrent index kama piratebay.se, mininove.com, isohunt.com na zininezo, hichi kitorrent kitafungukia hiyo p2p progama and there you go,
good lucky