Unamfahamu anayeshikilia rekodi ya kupandisha mabega juu Tanzania kisa PhD? Sio tu aliwatukana wale watoto live bali aliwatimua kabisa! Eti vilaza!...
Hayo makaratasi yanaoyoitwa diploma, degree, masters, PhD yasitudanganye tukajihisi bora zaidi na kuanza kupandisha mabega juuuuu sababu kuna wasiokua nayo na pia wanafanya vitu vikubwa tuu
Kwahiyo kina Kibajaj na Musukuma kasheku wanafuata nyayo za kiongozi wao?... unamfahamu anayeshikilia rekodi ya kupandisha mabega juu Tanzania kisa PhD? Sio tu aliwatukana wale watoto live bali aliwatimua kabisa! Eti vilaza!
Hakika mh Lema alisema kuwa wakitumaliza sisi wapinzani watahamia kwenu wenyewe kwa wenyewe.wacha watukanane na kuvunjiana heshima wenyewe kwa wenyewe wale waliokuwa wakiwatukana sasa hawako bungeni ni raha tupu.
... unamfahamu anayeshikilia rekodi ya kupandisha mabega juu Tanzania kisa PhD? Sio tu aliwatukana wale watoto live bali aliwatimua kabisa! Eti vilaza!
Hivi kama huna elimu utafanya upasuaji? utajenga madaraja? kama umeishia darasa la saba sio tatizoTutakapofikia hatua ya kuweza kujua maana halisi ya elimu
Tutafikia hatua ya kuweza kuheshimu na kuwaheshimu wote wenye elimu isiyo rasmi na elimu rasmi...