Kuna app nyingi hazipo kwenye playstore kwa mfano videoder, mobogine, ambazo unazikuta kule playastore mara nyingi zinakuwa ni za uongo
Ukitaka kuzipata zile app kwa urahisi lazima uingie internet na udownkoad kwa mfumo wa apk. Au mtu kama hiyo app anayo lazima akutumia kwenye Bluetooth kwa mfumo wa app share na ukitaka kuistal hizi apk lazima uweke sehemu moja hivi wameandi unknown app na hii ni hatari sana na ukisha maliza kuistal ile setting bado inakuwa iko on na vailasi wanaanza kuingia muda wowote
Madhara yake unakuta sometime kunavitu vinajidownload vyenyewe mara unakuta simu imejiwasha data yenyewe au mara nyingine simu inaisha chaji haraka someti inakuwa ya moto sana hata kama hautumii nk.
Ukirestore zingine zinakubali na zingine huwa zinakataa hadi upeleke kwa fundi software afute file lote harafu aweke lingine
Solution kama utaweza tumia app zenyewe zinapatikana kwenye playstore tu na usikubali hata kulishiwa app kwenye Bluetooth ni hatari sana.
Kama kuna mtu nae anaweza akawa na solution nyimgine anaweza kutusaidi.

Android ni Free market tu uchafu mwingi upo huku ata playstore unaona app zilivo za ovyo then Virus cdhani kama wana zuru sana simu zetu kiukweli nina muda mrefu sijihusishi na playstore kabisa napakua blackmart na stores zingine ..Android bila kuroot na ku allow non playstore app duh sijui utaifaidi nini asee but kama unapenda kitu cha uhakika ww vuta Apple phones tu
Kwanza nimeweza ku uninstall pre installed apps, nimezuia ads za ovyo ila pia kuna app nyingi zinataka root access nadhani ni simply napakua nipo mbioni kucheza na customs rom japo sijui sana but kuli risk device ndo kujifunza mengi zaidi ukiwa na uoga ni ngumu kuyajuaWatu mnapenda sana kua super users kuonekana geeks tu ila in reality u do nothing once you are a super user zaidi ya kutumia whatsapp na facebook. Give me two things ambavyo wewe personally unaenjoy kama superuser. Alafu honestly utaacha kudownload apps playstore unaenda sources nyingine, huo ni ushauri mbaya sana kumpa mtu, unajua fika sources nyingine ni dangerous kuliko playstore, playstore wakigundua app ina any security risks hua wanaifuta fasta, in most cases hua haifikii watu hata 500.
Kwanza nimeweza ku uninstall pre installed apps, nimezuia ads za ovyo ila pia kuna app nyingi zinataka root access nadhani ni simply napakua nipo mbioni kucheza na customs rom japo sijui sana but kuli risk device ndo kujifunza mengi zaidi ukiwa na uoga ni ngumu kuyajua
bado mkuu nipe maujanjafinally unaenjoy custom roms.
bado mkuu nipe maujanja
Niko na S3 na utu twa vodamkuu unatumia simu gani?
Ndio mkuus3 Samsung?
Ndio mkuu
kuna " monkey test " nashindwa kuielewa kabisaa antivirus ninayotumia inaniambia ni " trojan " nikijaribu kupambana nayo inaniambia ni force to stop app then ina repair badala ya ku uninstall! hii ipo vp wakuu
simu gani unatumia?