displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,083
Wadau jioneeni jinsi ugaidi ulivyobadili mwenendo wa maisha hasa kwa swala la ulinzi, usalama na kujihami.
Jinsi hofu ya ugaidi ilivyofanya baadhi ya wanawake kunyanyasika.Wadau jioneeni jinsi ugaidi ulivyobadili mwenendo wa maisha hasa kwa swala la ulinzi, usalama na kujihami.
View attachment 333434View attachment 333435View attachment 333436
Ni kweli yaonekana me hukaguliwa na me mwezake halikazalija kwa ke na ke meenzieHao Wanajeshi wanaonekana tu dhahiri kuwa ni wanawake.
Kwa kweli sijui wanaume hukaguliwajeJinsi hofu ya ugaidi ilivyofanya baadhi ya wanawake kunyanyasika.
Wenzako wanatabasamu wewe unasema wananyanyasika?Jinsi hofu ya ugaidi ilivyofanya baadhi ya wanawake kunyanyasika.
Kila anaeshikwa shikwa hapo anaonesha uso wa furaha
Hiyo picha inanishawishi kwenda depe
Mi sioni wanawake hao walichonyanyasika kwa kuwa wanapekuliwa na askari wa kike. Sema jingineJinsi hofu ya ugaidi ilivyofanya baadhi ya wanawake kunyanyasika.
Mi sioni wanawake hao walichonyanyasika kwa kuwa wanapekuliwa na askari wa kike. Sema jingine