hansluvanga
Member
- Apr 18, 2014
- 96
- 27
ni masikitiko yangu kwa TCRA yan kwa sheria zao mpya hizi ni ngumu xana kwa bloggers wadogo wadogo kukua kiukweli ni masikitiko tu kwa wale bloggers wote ambao walikua wanachipukia
mkuu kwani washaanza kuzingua?ni masikitiko yangu kwa TCRA yan kwa sheria zao mpya hizi ni ngumu xana kwa bloggers wadogo wadogo kukua kiukweli ni masikitiko tu kwa wale bloggers wote ambao walikua wanachipukia