Btw T.I.D ana kipaji kizuri ila unga umempoteza.
Ana a.k.a za kutosha, Kigogo, Mnyama, Mzee, Warioba nk
Yaani haya majamaa yana vipaji ila sasa..unga umeyamaliza.. T.I.D,CHID NA BANZA STONE.. ni shida kwakweli
Btw T.I.D ana kipaji kizuri ila unga umempoteza.
Ana a.k.a za kutosha, Kigogo, Mnyama, Mzee, Warioba nk
Yaani mimi huyu kiukweli ananiuma sana. The dude is talented ila ndio hivyo tena.q chila