waneemayote
Member
- Oct 20, 2019
- 56
- 153
Ni mtazamo wako pia tunaheshimuUnakuta mke wa mchungaji anayekesha maombini anamegwa na houseboy au bodaboda, mchungaji nae anapita na wanakwaya. Wanakwaya kwa wanakwaya wanaseviana. Ndoa za wachungaji na wanakwaya maarufu zinavunjika kama ungo.... INA MAANA HAWA HAWAJUI KUFUNGA NA KUOMBA? Kuoa bikra sio guarantee kwamba hatochepuka. HIZI mambo za sijui spiritual connections, sijui madhabahu za nini ni kuongezeana hofu tu.