Fungua class umu jf ufundishe watu jinsi ya kuandika vzr sio unaleta ujuaji kwa uzi wa mtu mwingne
Mbona tunakuaga wajuaji sana ktk vtu vidogo cha msingi umelewa nn kaandika
Nadhani ume-overreact kusikokuwa na umuhimu. Nadamini ephen_ alikuwa anakuelewesha na hakuwa na nia mbaya. Tunajifunza kutokana na makosa ujue, na hapa JF ni shule toshaFungua class umu jf ufundishe watu jinsi ya kuandika vzr sio unaleta ujuaji kwa uzi wa mtu mwingne
Mbona tunakuaga wajuaji sana ktk vtu vidogo cha msingi umelewa nn kaandika
Nadhani ume-overreact kusikokuwa na umuhimu. Nadamini ephen_ alikuwa anakuelewesha na hakuwa na nia mbaya. Tunajifunza kutokana na makosa ujue, na hapa JF ni shule tosha
Atakuwa amejifunzaNdio maana sijamjibu chochote, ningetaka kumsahihisha mtoa mada ningefanya hivyo bila kutoa taarifa
Nilitania kupitia comment yangu, halafu hajaona wote walioongea kaona comment yangu tu
Nimempotezea🚮
Kwani wewe ni mwalimu 😂😂Natamani nisahihishe sehemu ulizokosea kuandika lakini sijui nianzie wapi nimechanganyikiwa wewe ni special case
Uwe makini sanaNililala mahabusu ya pale msimbazj polisi station till morning,kesho yake majira ya saa nane mchana nikaja kutolewa na yule askari nikachukuliwa kutoka pale msimbazi hadi kituo cha mbweni kilichopo bagamoyo road,nililala pale hadi kesho yake nikatolewa dhamana na mzazi wangu tukaifuatilia kesi mwisho wa siku ile simu ililetwa akaleta vielelezo vyake(warranty card) imei ilikua inasoma tofauti na ile simu wakati huo kielelezo changu ambacho kilitumwa kilikua kinaendana na ile simu nikashinda nikaondoka na ile simu ila askar alinambia tu kuongeza umakini zaidi maana naweza kununua simu ya marehemu nikapewa kesi ya uuaji nikatolewa mfano kuna mtu miaka mitatu yupo mahabusu kisa aliokota simu akaanza kutumia kumbe mmiliki mwenye ile simu aliuwawa na watu wasiojulikana.
BWEGE kweli wewe hivi umesoma hata Uzi wenyewe ukauelewaMkuu hy Samsung not 10 ya 200k bado ipo
SEALED brandnew kabisa unaitoa BIKIRAKwa faida ya wengi reyzzap ungeelezea simu ikiwa sealed na fullbox maana yake ni nini
Uzi umeisha tusiwe na misunderstandingNdio maana sijamjibu chochote, ningetaka kumsahihisha mtoa mada ningefanya hivyo bila kutoa taarifa
Nilitania kupitia comment yangu, halafu hajaona wote walioongea kaona comment yangu tu
Nimempotezea🚮
Nihalali kwa mtazamo wako. Unajuaje kama haikua ya wizi?Ndio mkuu ila simu ilikua ni halali
Mkuu kiufupi nilienda polisi kesi iliwekwa mezani ikasikilizwa pande zote mbili.Nihalali kwa mtazamo wako. Unajuaje kama haikua ya wizi?
Kwani ulipewa na risiti?
Sasa kule kulala kwako lupango siku 2 analipia nani?Mkuu kiufupi nilienda polisi kesi iliwekwa mezani ikasikilizwa pande zote mbili.
Warrabty card ya ile simu ilipatikana ikawekwa mezani
Pia warranty card ya anaedai kua simu ni yake iliweka mezani
Mwishowe imei ya warranty yangu inaendana na ile simu lakini ya anayesema simu ni yake haikufanana kwahiyo nilikabidhiwa simu kesi ikawa imeisha