Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,837
Sijakataa kuwa ni mabingwa, nimezungumzia hiyo ratiba je inawabebs kweli ama haiwabebi?Liver bingwa mingine porojo sema mi naombea wafungwe mechi moja rekodi yetu ya arsenal iendelee kuwa palepale.
Kwani ratiba ya EPL huwa inatoka muda gani? Kama nitakuwa sijakosea ratiba inakuwa tayari mwezi mmoja kabla na timu zinakuwa zinajua msimu mzima zinachezaje.Sijakataa kuwa ni mabingwa, nimezungumzia hiyo ratiba je inawabebs kweli ama haiwabebi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakataa kuwa ni mabingwa, nimezungumzia hiyo ratiba je inawabebs kweli ama haiwabebi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool washachukua epl mkuu
City washachoka vibaya mno, hawana nguvu kabisa, wamelegea aisee
Hio ratiba haina effect yeyote, n chuki zako tu kwa liverpool
Pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta uzi umelewa, leta point za Msingi!Baada ya Wolves kumshinda Man City Jana, Liverpool ndio atacheza na Wolves
Liverpool sio tu kuwa kapata nafasi ya kumsoma kiwango cha Wolves dhidi ya timu kubwa, bali pia atapambana na Wolves ambayo imejichokea baada ya mechi nzito dhidi ya City
Na hili sip tu kwa Wolves, kabla ya hapo
Man City vs Leicester, kisha Liver vs Leicester
Leicester City baada ya kucheza mechi nzito na Man City, alipangwa kukutana na Liverpool ambayo ilimshindilia goli nne kwa bila,
Liver alimsoma Leicester udhaifu na uimara wake dhidi ya City na kuutumia, pia alimkuta Leicester kajichokea sababu ya mchaka mchaka wa City
Mechi zinazofuata
Ni Man City vs Sheffield, kisha Liverpool vs Sheffield
Hapa baada ya mechi na Wolves, City atakutana na Sheffield United, itakuwa mechi ya kukata na shoka, sababu Sheffield wapo kwenye form nzuri, pia Vity hatokubali kupoteza mechi ya pili mfululizo
Baada ya Sheffield kupambana vikali na kujeruhiana na Man City, then mechi inayofuata baada ya siku 2 anakutana na Liverpool ambaye anakuwa keshamsoma udhaifu na uimara wa kikosi kwa kipindi cha sasa, anamshindilia goli kirahisi
Hii ratiba ipo hivi kipindi hiki cha sikuukuu ambacho mechi zinakuwa zimebanana na wachezaji kuchoka, ni kipindi muhimu sana kwenye kuamua mshindi wa ligi
Je hii ni coincidence tu au ni makusudi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siyo kina wambura waliopanga ratiba.....ilipangwa miezi kadhaa kabla ya ligi......Liverpool wapo vizuri this season tukubali tu sisi wengine na timu zetu na kina Arteta na OleBaada ya Wolves kumshinda Man City Jana, Liverpool ndio atacheza na Wolves
Liverpool sio tu kuwa kapata nafasi ya kumsoma kiwango cha Wolves dhidi ya timu kubwa, bali pia atapambana na Wolves ambayo imejichokea baada ya mechi nzito dhidi ya City
Na hili sip tu kwa Wolves, kabla ya hapo
Man City vs Leicester, kisha Liver vs Leicester
Leicester City baada ya kucheza mechi nzito na Man City, alipangwa kukutana na Liverpool ambayo ilimshindilia goli nne kwa bila,
Liver alimsoma Leicester udhaifu na uimara wake dhidi ya City na kuutumia, pia alimkuta Leicester kajichokea sababu ya mchaka mchaka wa City
Mechi zinazofuata
Ni Man City vs Sheffield, kisha Liverpool vs Sheffield
Hapa baada ya mechi na Wolves, City atakutana na Sheffield United, itakuwa mechi ya kukata na shoka, sababu Sheffield wapo kwenye form nzuri, pia Vity hatokubali kupoteza mechi ya pili mfululizo
Baada ya Sheffield kupambana vikali na kujeruhiana na Man City, then mechi inayofuata baada ya siku 2 anakutana na Liverpool ambaye anakuwa keshamsoma udhaifu na uimara wa kikosi kwa kipindi cha sasa, anamshindilia goli kirahisi
Hii ratiba ipo hivi kipindi hiki cha sikuukuu ambacho mechi zinakuwa zimebanana na wachezaji kuchoka, ni kipindi muhimu sana kwenye kuamua mshindi wa ligi
Je hii ni coincidence tu au ni makusudi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha ha ha haSasa hivi anakula hela kupitia mikeka anayompa Liverpool ushindi.
Ndo m wafunge sasa wasiharibu rekodi yenu ya 2003/4Liver bingwa mingine porojo sema mi naombea wafungwe mechi moja rekodi yetu ya arsenal iendelee kuwa palepale.
Wazungu wenyewe ndio wamelalamika Liver anapendelewa? Au ni mamalamiko ya Kwamtogole tu?