Mara tu alipoingia madarakani Sizonje alikuwa haishi kulialia kuwa kazi ya urais ngumu na angejua asingegombea. Sasa hivi kimyaaaa..Tafsiri yake ni kwamba alikuwa anatudanganya. Urais ni mzuri sana na una raha yake.
Na Sizonje anahakikisha yeyote aliyeonesha nia ya kugombea urais ndani ya ccm 2015 na umri wake bado unaruhusu anafifia ama anakufa kabisa kisiasa. Kwa hili amefanikiwa sana.
Wale waliokuwa na umri mkubwa na wana heshima zao wameona wakae kimya na kuachana na siasa. Akina Prof Mwandosya, Jaji Agustino Ramadhan, Mzee Bilali, na Mizengo Pinda. Mzee Tyson anautaka ubunge lkn figisu anazofanyiwa mahakamani ktk kesi yake ya kutengua ubunge wa Bulaya mwenyewe haamini.
.Wale wenye umri ambao Sizonje anaona ni tishio baadaye anawashughulikia vilivyo. Mfano Membe hapewi nafasi hâta ya kuongea na waandiahi wa habari. Dr. Mwele alitumbuliwa saa sita usiku kwa kutoa matokeo ya utafiti wa zika. Akina Rose Migiro wametupwa huko nje wakawe mabalozi ili wapoteze network.
Kuna waliopewa uwaziri ama unaibu ili azikandamize sauti na nyendo zao. Mfano:-a ki na Mwigulu Nchemba sasa hivi amekuwa kimya kama kondoo wa kafara anayesubiri kuchinjwa. Hana anachofanya wala kusema. Anasema kila jambo kwenye wizara yake siyo habari.
Kigwangalla huyu amepoteza mwelekeo ndiyo maana anapigwa mkwara na akina Makonda. Anatafuta kick ya kutokea hapati. Mara nitawataja mashoga, mara anafunga milango ya wizara, n.k.
Makamba ana tuhuma za kula hela ya mtaliano na pia ndiye aliyenaswa akilalamikia OC kuwa kiduchu kwa mawaziri, mpk Sizonje ikamlazimu kupiga mkwara.
Mahiga amenywea utadhani siyo yeye aliyekuwa akiongoza vikao kule UN. Tangu apewe makavu live siku mkewe alipobishana na trafic Mahiga hana hamu.
Mpina amekimbizana na maji machafu ya viwandani na vyooni naona naye hoi.
Muhongo amevutwa vutwa mpk kwenye 18 akafukiwa na makontena ya mchanga wa madini. Ndiyo kwaheri tena huyo. Akiibuka na hoja yenye kutaka kumpa umaarufu itatupwa nje kwa propaganda kuwa ana uchungu na uwaziri. Kwisha habari yake.
Mpk 2020 wote hao watakuwa wamechuja au kufa kabisa kisiasa. Hasa kama Nchemba atakuwa kisha tumbuliwa. Na amesahaulika kabisa.
Nani tena wa kuinua shingo ndani ya ccm ?
Sizonje ni noma.