Jinsi Paul Makonda anavyowaburuza CHADEMA

Sasa naanza kuwataja viongozi 5 maarufu kwa kulialia
5.........
4.........
3.........
2.Mtoto wa Mkulima
1.Mtoto wa Koromoje
Kolomije Daud Arbaty Bashite ni kama mtoto wa kike kutwa kulia lia hovyo, hafai kuwa kamanda wa mkoa mkubwa kama Dsm ambao unahitaji mwanaume jasiri asiyetoa chozi hata kwa nini.
 
Paul C Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Dares salaam historia inaonyesha hajaanza leo wala Jana kuwaburuza vibaya mno chadema kila wanapojaribu kufuata nyayo zake. Ikumbukwe kila jambo jema kwa taifa linaloanzishwa na Makonda ,Chadema lazima wapinge tu hata kama hilo jambo lina manufaa makubwa kwa nchi yetu !

1. Alianza kwa kuwaambia Lowasa hafai kuwa rais, wakapinga sana na kutukana kila aina ya matusi lakini ukweli ukabaki kuwa Lowasa hakuwa rais wa Tanzania na hatakuwa.

2. Aliwataja wauza madawa ya kulevya hadharani ,chadema wakapinga sana lakini ukweli ulibaki kuwa ukweli kwamba baada ya mapapa wa madawa ya kulevya kutajwa, madawa ya kulevya yalipungua sana nchini na mateja wameisha kabisa kwenye vituo vya daladala.

3. Aliwaita wazazi na watoto waliotelekezwa na kuwapatanisha na wazazi wao. Zaidi ya watoto na ndoa 1000 ziliokolewa na watoto kuanza kupata huduma kutoka kwa wazazi wao wote .
Kama kawaida chadema walibeza sana

4. Alianzisha kampeni ya usafi katika mkoa wa Dares salaam kwa kuachilia mgambo watakaosimamia usafi .Baada ya kufanya hivyo jiji limebadilika kabisa kwa usafi, sehemu zilizokuwa zimekithiri kwa uchafu na mrundikano wa takataka kwa muda mrefu sasa hivi ni safi mno.!
Licha ya mafanikio haya chadema kwa kushilikiana na magazeti ya mafisadi walichafua sana kampeni hii na kuipinga vikali kwa kisingizio kwamba baadhi ya mgambo wa Makonda wanapiga wananchi.

5. Sheria za nchi yetu, dini zetu na hata tamaduni zetu haziruhusu kabisa mambo ya ushoga lakini sasa swala hilo lilitaka kuonekana kama limehalalishwa Tanzania kwa sababu mashoga walianza hadi kujitangaza kwenye mitandao ya kijamii na hata kufanya mahojiano bila aibu kwenye vituo vya redio!
Kufuatia hali hivyo Paul Makonda akaanzisha kampeni Kali ya kupiga vita na kukomesha kabisa kwenye jamii zetu .Cha kushangaza kabisa na kuacha vinywa wazi chadema walimpinga waziwazi Makonda!
Cha kusikitisha mno wengine ni wasomi lakini wanasimama hadharani bila aibu kutetea ushoga na mashoga ! Walifikia hatua ya kumlisha maneno waziri ili kuhakikisha tu wamemzodoa na kumkatisha tamaa Makonda kwenye kampeni yake ya kupinga ushoga .

Leo baada ya Waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola kuweka wazi kuwa serikali ya Tanzania kamwe haitaruhusu ushoga ,Chadema pamoja na wapambe wao wamepata aibu ya mwaka mbele ya macho ya watanzania.

Ni ushauri kwa chadema kuwa Makonda siyo saizi yenu , Makonda kwenye utendaji wake hajifungii ndani ya box anaenda extra mile ndiyo maana anapata uungwaji mkono mkubwa sana kutoka kwa wananchi kwa sababu anaonekana ni mbunifu tofauti na chadema ambao uwezo wao wa kufikiri upo kwenye box la Mbowe. Hanna mwanachadema anayefikiri zaidi ya anachofikiri Mbowe.

Mkojo umekuwasha mapema sana. Nenda kakojoe ulale. Pengine ukiamka utakuwa na akili.
 
Kolomije Daud Arbaty Bashite ni kama mtoto wa kike kutwa kulia lia hovyo, hafai kuwa kamanda wa mkoa mkubwa kama Dsm ambao unahitaji mwanaume jasiri asiyetoa chozi hata kwa nini.
Pamoja na kulialia lakini mafisadi mkisikia jina lake mnajinyea
 
Jikite kwenye hoja
Kuna hoja gani hapo wewe mzibuliwaji? Au umeamua kumsengenya kwa wanacdm kwa missions zake zisizo na tija? Siku nyingine kaa chini ujifikirie na kujitafakari namna siasa hizi za maji ya maharage zinavyochangia umaskini wako!
 
Hauoni wauza madawa wa kulevya wa mitaa ya ufipa wamepungua ??
 
Paul C Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Dares salaam historia inaonyesha hajaanza leo wala Jana kuwaburuza vibaya mno chadema kila wanapojaribu kufuata nyayo zake. Ikumbukwe kila jambo jema kwa taifa linaloanzishwa na Makonda ,Chadema lazima wapinge tu hata kama hilo jambo lina manufaa makubwa kwa nchi yetu !

1. Alianza kwa kuwaambia Lowasa hafai kuwa rais, wakapinga sana na kutukana kila aina ya matusi lakini ukweli ukabaki kuwa Lowasa hakuwa rais wa Tanzania na hatakuwa.

2. Aliwataja wauza madawa ya kulevya hadharani ,chadema wakapinga sana lakini ukweli ulibaki kuwa ukweli kwamba baada ya mapapa wa madawa ya kulevya kutajwa, madawa ya kulevya yalipungua sana nchini na mateja wameisha kabisa kwenye vituo vya daladala.

3. Aliwaita wazazi na watoto waliotelekezwa na kuwapatanisha na wazazi wao. Zaidi ya watoto na ndoa 1000 ziliokolewa na watoto kuanza kupata huduma kutoka kwa wazazi wao wote .
Kama kawaida chadema walibeza sana

4. Alianzisha kampeni ya usafi katika mkoa wa Dares salaam kwa kuachilia mgambo watakaosimamia usafi .Baada ya kufanya hivyo jiji limebadilika kabisa kwa usafi, sehemu zilizokuwa zimekithiri kwa uchafu na mrundikano wa takataka kwa muda mrefu sasa hivi ni safi mno.!
Licha ya mafanikio haya chadema kwa kushilikiana na magazeti ya mafisadi walichafua sana kampeni hii na kuipinga vikali kwa kisingizio kwamba baadhi ya mgambo wa Makonda wanapiga wananchi.

5. Sheria za nchi yetu, dini zetu na hata tamaduni zetu haziruhusu kabisa mambo ya ushoga lakini sasa swala hilo lilitaka kuonekana kama limehalalishwa Tanzania kwa sababu mashoga walianza hadi kujitangaza kwenye mitandao ya kijamii na hata kufanya mahojiano bila aibu kwenye vituo vya redio!
Kufuatia hali hivyo Paul Makonda akaanzisha kampeni Kali ya kupiga vita na kukomesha kabisa kwenye jamii zetu .Cha kushangaza kabisa na kuacha vinywa wazi chadema walimpinga waziwazi Makonda!
Cha kusikitisha mno wengine ni wasomi lakini wanasimama hadharani bila aibu kutetea ushoga na mashoga ! Walifikia hatua ya kumlisha maneno waziri ili kuhakikisha tu wamemzodoa na kumkatisha tamaa Makonda kwenye kampeni yake ya kupinga ushoga .

Leo baada ya Waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola kuweka wazi kuwa serikali ya Tanzania kamwe haitaruhusu ushoga ,Chadema pamoja na wapambe wao wamepata aibu ya mwaka mbele ya macho ya watanzania.

Ni ushauri kwa chadema kuwa Makonda siyo saizi yenu , Makonda kwenye utendaji wake hajifungii ndani ya box anaenda extra mile ndiyo maana anapata uungwaji mkono mkubwa sana kutoka kwa wananchi kwa sababu anaonekana ni mbunifu tofauti na chadema ambao uwezo wao wa kufikiri upo kwenye box la Mbowe. Hanna mwanachadema anayefikiri zaidi ya anachofikiri Mbowe.

Afuate kwanza ushauri wa Sugu.
 
Pole sana,jiandaeni na msiba mkubwa kabla ya 2025 baada ya hapo Tanzania itakuwa mikononi mwa Mungu,na shetani atakuwa kafungwa minyororo na kutupwa kuzimu.
Kama huamini subiri utaona,omba uzima tu.

Mkuu mbona 2025 mbali sana, kabla ya 2020 hili chama chakavu litapata pigo kubwa sana,pigo takatifu,pigo lililonyooka na ndiyo utakuwa mwisho wa huu ujinga ujinga wa hawa ndezi wa chakubanga.
 
Kwamba mwaka 2020 watetea mashoga chadema wataingia madarakani ?
 
Na wewe mwenyewe ndiyo wale wale unajifanya kupinga ushoga ili kuficha ushoga wako. Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndiyo utoe kibanzi kwenye jicho la jirani yako.
 
Hauoni wauza madawa wa kulevya wa mitaa ya ufipa wamepungua ??
Nitawaonaje ilihali nipo ufipani? Au nitumie kionambali cha kibashite maanake naskia kuwa ni bingwa wa ndumba! Na hawa manabii njaa wa siku hizi nao ni shida! Yaani wanajua kabisa kuwa mtu kajifiringisha mahirizi kiunoni na nyumbani kwake ana bweni la waganga wa kila aina lakini wanamruhusu kuikanyaga madhabahu wanayotuaminisha kuwa ni patakatifu!
 
Na wewe mwenyewe ndiyo wale wale unajifanya kupinga ushoga ili kuficha ushoga wako. Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndiyo utoe kibanzi kwenye jicho la jirani yako.
Usiporudi kwenu kijijini soon utaolewa hapa mjini
 
Paul C Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Dares salaam historia inaonyesha hajaanza leo wala Jana kuwaburuza vibaya mno chadema kila wanapojaribu kufuata nyayo zake. Ikumbukwe kila jambo jema kwa taifa linaloanzishwa na Makonda ,Chadema lazima wapinge tu hata kama hilo jambo lina manufaa makubwa kwa nchi yetu !

1. Alianza kwa kuwaambia Lowasa hafai kuwa rais, wakapinga sana na kutukana kila aina ya matusi lakini ukweli ukabaki kuwa Lowasa hakuwa rais wa Tanzania na hatakuwa.

2. Aliwataja wauza madawa ya kulevya hadharani ,chadema wakapinga sana lakini ukweli ulibaki kuwa ukweli kwamba baada ya mapapa wa madawa ya kulevya kutajwa, madawa ya kulevya yalipungua sana nchini na mateja wameisha kabisa kwenye vituo vya daladala.

3. Aliwaita wazazi na watoto waliotelekezwa na kuwapatanisha na wazazi wao. Zaidi ya watoto na ndoa 1000 ziliokolewa na watoto kuanza kupata huduma kutoka kwa wazazi wao wote .
Kama kawaida chadema walibeza sana

4. Alianzisha kampeni ya usafi katika mkoa wa Dares salaam kwa kuachilia mgambo watakaosimamia usafi .Baada ya kufanya hivyo jiji limebadilika kabisa kwa usafi, sehemu zilizokuwa zimekithiri kwa uchafu na mrundikano wa takataka kwa muda mrefu sasa hivi ni safi mno.!
Licha ya mafanikio haya chadema kwa kushilikiana na magazeti ya mafisadi walichafua sana kampeni hii na kuipinga vikali kwa kisingizio kwamba baadhi ya mgambo wa Makonda wanapiga wananchi.

5. Sheria za nchi yetu, dini zetu na hata tamaduni zetu haziruhusu kabisa mambo ya ushoga lakini sasa swala hilo lilitaka kuonekana kama limehalalishwa Tanzania kwa sababu mashoga walianza hadi kujitangaza kwenye mitandao ya kijamii na hata kufanya mahojiano bila aibu kwenye vituo vya redio!
Kufuatia hali hivyo Paul Makonda akaanzisha kampeni Kali ya kupiga vita na kukomesha kabisa kwenye jamii zetu .Cha kushangaza kabisa na kuacha vinywa wazi chadema walimpinga waziwazi Makonda!
Cha kusikitisha mno wengine ni wasomi lakini wanasimama hadharani bila aibu kutetea ushoga na mashoga ! Walifikia hatua ya kumlisha maneno waziri ili kuhakikisha tu wamemzodoa na kumkatisha tamaa Makonda kwenye kampeni yake ya kupinga ushoga .

Leo baada ya Waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola kuweka wazi kuwa serikali ya Tanzania kamwe haitaruhusu ushoga ,Chadema pamoja na wapambe wao wamepata aibu ya mwaka mbele ya macho ya watanzania.

Ni ushauri kwa chadema kuwa Makonda siyo saizi yenu , Makonda kwenye utendaji wake hajifungii ndani ya box anaenda extra mile ndiyo maana anapata uungwaji mkono mkubwa sana kutoka kwa wananchi kwa sababu anaonekana ni mbunifu tofauti na chadema ambao uwezo wao wa kufikiri upo kwenye box la Mbowe. Hanna mwanachadema anayefikiri zaidi ya anachofikiri Mbowe.
Nitakununulia udongo wa Kigoma na embe changa utafune.
 
Back
Top Bottom