Jinsi Paul Makonda anavyowaburuza CHADEMA

Angetajwa mbowe ungeelewa kwa haraka sana
Makonda ndiye yupi kwenye hii picha hapa chini?Je,anawezaje kutambulika kwa sifa za kipekee kwenye picha???
Screenshot_2018-11-08-19-00-53.png
 
Paul C Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Dares salaam historia inaonyesha hajaanza leo wala Jana kuwaburuza vibaya mno chadema kila wanapojaribu kufuata nyayo zake. Ikumbukwe kila jambo jema kwa taifa linaloanzishwa na Makonda ,Chadema lazima wapinge tu hata kama hilo jambo lina manufaa makubwa kwa nchi yetu !

1. Alianza kwa kuwaambia Lowasa hafai kuwa rais, wakapinga sana na kutukana kila aina ya matusi lakini ukweli ukabaki kuwa Lowasa hakuwa rais wa Tanzania na hatakuwa.

2. Aliwataja wauza madawa ya kulevya hadharani ,chadema wakapinga sana lakini ukweli ulibaki kuwa ukweli kwamba baada ya mapapa wa madawa ya kulevya kutajwa, madawa ya kulevya yalipungua sana nchini na mateja wameisha kabisa kwenye vituo vya daladala.

3. Aliwaita wazazi na watoto waliotelekezwa na kuwapatanisha na wazazi wao. Zaidi ya watoto na ndoa 1000 ziliokolewa na watoto kuanza kupata huduma kutoka kwa wazazi wao wote .
Kama kawaida chadema walibeza sana

4. Alianzisha kampeni ya usafi katika mkoa wa Dares salaam kwa kuachilia mgambo watakaosimamia usafi .Baada ya kufanya hivyo jiji limebadilika kabisa kwa usafi, sehemu zilizokuwa zimekithiri kwa uchafu na mrundikano wa takataka kwa muda mrefu sasa hivi ni safi mno.!
Licha ya mafanikio haya chadema kwa kushilikiana na magazeti ya mafisadi walichafua sana kampeni hii na kuipinga vikali kwa kisingizio kwamba baadhi ya mgambo wa Makonda wanapiga wananchi.

5. Sheria za nchi yetu, dini zetu na hata tamaduni zetu haziruhusu kabisa mambo ya ushoga lakini sasa swala hilo lilitaka kuonekana kama limehalalishwa Tanzania kwa sababu mashoga walianza hadi kujitangaza kwenye mitandao ya kijamii na hata kufanya mahojiano bila aibu kwenye vituo vya redio!
Kufuatia hali hivyo Paul Makonda akaanzisha kampeni Kali ya kupiga vita na kukomesha kabisa kwenye jamii zetu .Cha kushangaza kabisa na kuacha vinywa wazi chadema walimpinga waziwazi Makonda!
Cha kusikitisha mno wengine ni wasomi lakini wanasimama hadharani bila aibu kutetea ushoga na mashoga ! Walifikia hatua ya kumlisha maneno waziri ili kuhakikisha tu wamemzodoa na kumkatisha tamaa Makonda kwenye kampeni yake ya kupinga ushoga .

Leo baada ya Waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola kuweka wazi kuwa serikali ya Tanzania kamwe haitaruhusu ushoga ,Chadema pamoja na wapambe wao wamepata aibu ya mwaka mbele ya macho ya watanzania.

Ni ushauri kwa chadema kuwa Makonda siyo saizi yenu , Makonda kwenye utendaji wake hajifungii ndani ya box anaenda extra mile ndiyo maana anapata uungwaji mkono mkubwa sana kutoka kwa wananchi kwa sababu anaonekana ni mbunifu tofauti na chadema ambao uwezo wao wa kufikiri upo kwenye box la Mbowe. Hanna mwanachadema anayefikiri zaidi ya anachofikiri Mbowe.
A daft man at his career, hongera sana nenda sasa kalipwe buku 7.
 
Huwezi kumeza huu ukweli maana Ni mchungu Zaid ya mwarobaini
Ukweli gani mchungu? Kwamba hatufikiri tofauti na Mbowe nyie mnafikiri tofauti na magufuli?
Ni nani kati yenu mwenye uwezo wa kupinga mawazo ya magufuli na akabaki salama?
Kuwa ccm ni lazima uwe chizi
 
Na bado tunamsubiri mbowe arudi tumuonyeshe Nini maana ya mahakama na Nini maana ya jela
Pole sana,jiandaeni na msiba mkubwa kabla ya 2025 baada ya hapo Tanzania itakuwa mikononi mwa Mungu,na shetani atakuwa kafungwa minyororo na kutupwa kuzimu.
Kama huamini subiri utaona,omba uzima tu.
 
Mimi ni mwanaCCM lakini siwezi kutetea ujinga nisome vizuri post zangu unielewe. Siwezi kuwa mnafki kwa hilo niko tofauti na wewe. Unaumizwa na hali ya sasa lakini humu mitandanoni kwa sababu ya njaa na kutegemea kula kupitia siasa pekee ndio unajitoa akili. Naamini yaliyo moyoni mwako na unayoyaandika humu ni tofauti.
Mkuu wewe siyo ccm ,hakuna mwana ccm mwenye kujenga hoja ya hekima kama yako nchi nzima kuanzia ngazi ya taifa
 
Halafu jamaa anaringia nafasi ya first lady wa Pilato.
Ni mke halali
 
Sina uhakika na hayo mengine, lakini hili la usafi bado halijafanikiwa. Ni mdau wa jambo hilo na nimekuwa nikihudhuria vikao vingi vya mkoa nikitokea Manispaa. Hao askari hawakuleta mabadiliko yoyote zaidi ya kero. Na kwa sasa hawapo tena mitaani walijiondokea kimya kimya. Alianzisha mashindano ya Usafi kwa kila Mtaa, akiahidi zawadi ya Gari na 50m. Kwa vigezo walivyoweka hakuna alyevifikia. Na shindano lenyewe likafa
 
Paul C Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Dares salaam historia inaonyesha hajaanza leo wala Jana kuwaburuza vibaya mno chadema kila wanapojaribu kufuata nyayo zake. Ikumbukwe kila jambo jema kwa taifa linaloanzishwa na Makonda ,Chadema lazima wapinge tu hata kama hilo jambo lina manufaa makubwa kwa nchi yetu !

1. Alianza kwa kuwaambia Lowasa hafai kuwa rais, wakapinga sana na kutukana kila aina ya matusi lakini ukweli ukabaki kuwa Lowasa hakuwa rais wa Tanzania na hatakuwa.

2. Aliwataja wauza madawa ya kulevya hadharani ,chadema wakapinga sana lakini ukweli ulibaki kuwa ukweli kwamba baada ya mapapa wa madawa ya kulevya kutajwa, madawa ya kulevya yalipungua sana nchini na mateja wameisha kabisa kwenye vituo vya daladala.

3. Aliwaita wazazi na watoto waliotelekezwa na kuwapatanisha na wazazi wao. Zaidi ya watoto na ndoa 1000 ziliokolewa na watoto kuanza kupata huduma kutoka kwa wazazi wao wote .
Kama kawaida chadema walibeza sana

4. Alianzisha kampeni ya usafi katika mkoa wa Dares salaam kwa kuachilia mgambo watakaosimamia usafi .Baada ya kufanya hivyo jiji limebadilika kabisa kwa usafi, sehemu zilizokuwa zimekithiri kwa uchafu na mrundikano wa takataka kwa muda mrefu sasa hivi ni safi mno.!
Licha ya mafanikio haya chadema kwa kushilikiana na magazeti ya mafisadi walichafua sana kampeni hii na kuipinga vikali kwa kisingizio kwamba baadhi ya mgambo wa Makonda wanapiga wananchi.

5. Sheria za nchi yetu, dini zetu na hata tamaduni zetu haziruhusu kabisa mambo ya ushoga lakini sasa swala hilo lilitaka kuonekana kama limehalalishwa Tanzania kwa sababu mashoga walianza hadi kujitangaza kwenye mitandao ya kijamii na hata kufanya mahojiano bila aibu kwenye vituo vya redio!
Kufuatia hali hivyo Paul Makonda akaanzisha kampeni Kali ya kupiga vita na kukomesha kabisa kwenye jamii zetu .Cha kushangaza kabisa na kuacha vinywa wazi chadema walimpinga waziwazi Makonda!
Cha kusikitisha mno wengine ni wasomi lakini wanasimama hadharani bila aibu kutetea ushoga na mashoga ! Walifikia hatua ya kumlisha maneno waziri ili kuhakikisha tu wamemzodoa na kumkatisha tamaa Makonda kwenye kampeni yake ya kupinga ushoga .

Leo baada ya Waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola kuweka wazi kuwa serikali ya Tanzania kamwe haitaruhusu ushoga ,Chadema pamoja na wapambe wao wamepata aibu ya mwaka mbele ya macho ya watanzania.

Ni ushauri kwa chadema kuwa Makonda siyo saizi yenu , Makonda kwenye utendaji wake hajifungii ndani ya box anaenda extra mile ndiyo maana anapata uungwaji mkono mkubwa sana kutoka kwa wananchi kwa sababu anaonekana ni mbunifu tofauti na chadema ambao uwezo wao wa kufikiri upo kwenye box la Mbowe. Hanna mwanachadema anayefikiri zaidi ya anachofikiri Mbowe.
Hivi aliyesema mashoga wako salama na watalindwa ni mwanachadema?
 
Kuna nyuzi humu jf ni kama habari za udaku.
 
Wakat ukifurahishwa na kazi ya DAB nikukumbushe kuwa bank ya dunia imesha sitisha mambo mambo. Tungojee kikao cha EU kilete majibu
 
Ok, hayo yamesaidia nini kwenye taifa hadi leo??
 
Sina uhakika na hayo mengine, lakini hili la usafi bado halijafanikiwa. Ni mdau wa jambo hilo na nimekuwa nikihudhuria vikao vingi vya mkoa nikitokea Manispaa. Hao askari hawakuleta mabadiliko yoyote zaidi ya kero. Na kwa sasa hawapo tena mitaani walijiondokea kimya kimya. Alianzisha mashindano ya Usafi kwa kila Mtaa, akiahidi zawadi ya Gari na 50m. Kwa vigezo walivyoweka hakuna alyevifikia. Na shindano lenyewe likafa
Bashite hawezi kitu chochote cha jamii, kitu pekee Bashite anaweza ni roho mbaya kuwakomoa watu kuwabambikia kesi kuwapora mali zao na Kuroga sana kilinda cheo chake cha Dsm Rc huku akiwa ni mkuu wa kitengo cha kamati za ufundi za mtukufu zilizo sheheni waganga wa kienyeji toka pande zote za Ulimwengu,
 
Yakija mashindano ya Ma-RC washirikina nina hakika Bashite atakuwa mshindi namba one tena aweza kuwa bingwa wa Dunia, ni mwanga sana lakini pia ni bingwa wa kupiga misele kwenye makanisa na misikitini mbalimbali ili kuwazuga kuwahadaa watanzania wadhani kwamba ni Mcha mungu mkubwa kumbe ni kigagula wa kutupwa sana.
 
Back
Top Bottom