Jinsi nilivyomtoa thamani

Umesema uliweka NADHIRI ya moyoni mwako kuwa ukimpata kingono basi utamuoa, sasa umeshampata unadai hafai kuwa mke wako, JE NADHIRI ULIYOJIWEKEA UMEIVUNJAJE? Na HASARA ZA KUIVUNJA NI ZIPI? Hebu tufafanulie. Mwisho omba kwa BWANA ILI USAMEHEWE.
 
Sioni ubaya hapa. Chukua chombo weka ndani.
 
Kajambe huko na thamani zako.
 
Unaendelea kula mzigo wakati humuitaji, kwanini unampotezea mda wake wakati unaona hakufai? ungefanyiwa wewe hivo mtu akuchune tu then akuache ungejisikiaje. Acha roho mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…