Jinsi nilivyomtoa thamani

Usipooa wewe wataoa wenzako na utakaekuja kumuoa wenzio wanamtumia saivi..inaitwa ngoma drooo...
 
Hizi dhamani mbona hatari ni sawa na kuokot sh 25 ya zamani ambayo ata sasa haina dhamani
 
Ulivaaa zana mkuuu
 
Hivyo na mimi nilikuwa nijiandae, siku akikasirika anivunjie kisabufa changu?
 
nasisitiza, umeshindwa kujitambua..Kaa chini tafakari..
Zaidi ya kujitambua kuwa hafai kuwa sababu akikasirika anavunja kila kitu, unataka kujitambua kupi? au ndio nyinyi hamjifunzi kwa wengine mpaka yakukute?
 
Zaidi ya kujitambua kuwa hafai kuwa sababu akikasirika anavunja kila kitu, unataka kujitambua kupi? au ndio nyinyi hamjifunzi kwa wengine mpaka yakukute?
done and fed up.Ciao!
 
wanaume wa siku hizi mnajua thamani ninyi?
ulitaka papuchi tu ushapewa tulia ,halafu utakuja kupata mwanamke kimeo wewe hutoamini?
mtu umemuomba k mwaka mzima leo umepewa unadai tena hakuvaa chupi? sasa mngefanya na chupi?
SWADAKTA
 
Bado hujakuwa kabisa.

Ulikuwa unamtafutia nini huyo binti? Amekupa ulichokitaka au hajakupa?

Unakuja kusema mambo yenu ya ndani wakati yeye mwanamke hajalalamika. Aicee.
 

Nakiri kuwa nitaendelea kula mzigo murua na wa viwango lakini nasikitika sitamuoa kama nilivyopanga awali, wanawake kuweni makini sana katika siku za mwanzo za mahusiano kwani kosa dogo huweza kuharibu yote.
 
kwa kweli aliunja vyombo ..hata mimi nagegeda tu maanaakili hamna hapo...naoa anayejielewa..wasiojielewa tunaishia kugegeda tu au kupotezea mazima......ndio wanaume tulivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…