Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,250
Nimepita.Habari wakuu
Niliwahi kuvutiwa na binti fulani na aliingia moyoni haswa nikaweka nyadhiri kuwa nikimpata nitamuoa japo alinizungusha sana kiasi cha mwaka sijaona chini zaidi ya misimamo mikali kama Alqaeeda.
Ana sura ya kisomali kama si kinyarwanda, ana rangi nyeupe mithili ya chotara, ana kiuno chembamba kilichobinuka kwa nyuma bila kusahau chuchu ndogo kifuani.
Naam ana mzigo wa kutosha bila kusahau hips za maana, hakika sikuchoka na ahadi za kesho kesho kama kifaranga cha kuku ila jana ndiyo nikatunukiwa mambo yetu baada ya mwaka mzima.
Kabla ya kufanya lolote alipokuja nilikundua ndani HAKUVAA na hapo nikamtoa THAMANI
Wakati wa mazungumzo akanigusia kuwa jamaa aliyekuwa nae mwanzo waligombana sana na yeye akaamua kumvunjia jamaa mali zote za nyumbani, nikamtoa THAMANI
Kabla hata sijakuwa nae karibu mara ghafla akatafuta duka la koni kwa fujo sana.....nikamtoa THAMANI
Kumaliza vyombo tu akaniambia nimuoe haraka kwani amechoka KUHANGAIKA mara huyu mara yule, nikamtoa THAMANI
Nakiri kuwa nitaendelea kula mzigo murua na wa viwango lakini nasikitika sitamuoa kama nilivyopanga awali, wanawake kuweni makini sana katika siku za mwanzo za mahusiano kwani kosa dogo huweza kuharibu yote.
Sijui wewe pia nikutoe thamani au nisubiri subiri kwanza[emoji1] [emoji1] [emoji1]wanaume wa siku hizi mnajua thamani ninyi?
ulitaka papuchi tu ushapewa tulia ,halafu utakuja kupata mwanamke kimeo wewe hutoamini?
mtu umemuomba k mwaka mzima leo umepewa unadai tena hakuvaa chupi? sasa mngefanya na chupi?
siitaji uthamani wako kamweSijui wewe pia nikutoe thamani au nisubiri subiri kwanza[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Habari wakuu
Niliwahi kuvutiwa na binti fulani na aliingia moyoni haswa nikaweka nyadhiri kuwa nikimpata nitamuoa japo alinizungusha sana kiasi cha mwaka sijaona chini zaidi ya misimamo mikali kama Alqaeeda.
Ana sura ya kisomali kama si kinyarwanda, ana rangi nyeupe mithili ya chotara, ana kiuno chembamba kilichobinuka kwa nyuma bila kusahau chuchu ndogo kifuani.
Naam ana mzigo wa kutosha bila kusahau hips za maana, hakika sikuchoka na ahadi za kesho kesho kama kifaranga cha kuku ila jana ndiyo nikatunukiwa mambo yetu baada ya mwaka mzima.
Kabla ya kufanya lolote alipokuja nilikundua ndani HAKUVAA na hapo nikamtoa THAMANI
Wakati wa mazungumzo akanigusia kuwa jamaa aliyekuwa nae mwanzo waligombana sana na yeye akaamua kumvunjia jamaa mali zote za nyumbani, nikamtoa THAMANI
Kabla hata sijakuwa nae karibu mara ghafla akatafuta duka la koni kwa fujo sana.....nikamtoa THAMANI
Kumaliza vyombo tu akaniambia nimuoe haraka kwani amechoka KUHANGAIKA mara huyu mara yule, nikamtoa THAMANI
Nakiri kuwa nitaendelea kula mzigo murua na wa viwango lakini nasikitika sitamuoa kama nilivyopanga awali, wanawake kuweni makini sana katika siku za mwanzo za mahusiano kwani kosa dogo huweza kuharibu yote.
na nyie muwe mnaangalia na wanaume wakuwapa hizo K zenu.wanaume wa siku hizi mnajua thamani ninyi?
ulitaka papuchi tu ushapewa tulia ,halafu utakuja kupata mwanamke kimeo wewe hutoamini?
mtu umemuomba k mwaka mzima leo umepewa unadai tena hakuvaa chupi? sasa mngefanya na chupi?
yaani ni kweli ..mengine mapepona nyie muwe mnaangalia na wanaume wakuwapa hizo K zenu.
Kabla ya kufanya lolote alipokuja nilikundua ndani HAKUVAA na hapo nikamtoa THAMANI
Wakati wa mazungumzo akanigusia kuwa jamaa aliyekuwa nae mwanzo waligombana sana na yeye akaamua kumvunjia jamaa mali zote za nyumbani, nikamtoa THAMANI
Kabla hata sijakuwa nae karibu mara ghafla akatafuta duka la koni kwa fujo sana.....nikamtoa THAMANI
Kumaliza vyombo tu akaniambia nimuoe haraka kwani amechoka KUHANGAIKA mara huyu mara yule, nikamtoa THAMANI
uliyemtoa thamani utamlaje mzigo murua wa viwango?..Dalili za kutojitambua hizi..Nakiri kuwa nitaendelea kula mzigo murua na wa viwango.
Bwana mdogo tunapozungumzia ndoa na mzigo wenye viwango ni mambo tofauti.uliyemtoa thamani utamlaje mzigo murua wa viwango?..Dalili za kutojitambua hizi..
Kumbe mwenyewe upo humu! basi yaishe.siitaji uthamani wako kamwe
Huyu pia noti zipo na pesa kwake haina mbio.Mzee wa mizigo. , vipi umeachana na wamama wenye mahela yao umehamia kwa vibinti?
Unateleza nae tu huku ukimtumbua vichenchi vyake..si mchezo!Huyu pia noti zipo na pesa kwake haina mbio.
Kweli, wapewe mabubu wauziwe mbuzi kwenye gunia.na nyie muwe mnaangalia na wanaume wakuwapa hizo K zenu.
Unapozungumzia kumtoa thamani na kukupa mzigo wenye viwango kwako ni sawa?...Ni viwango ganii vinapatikana kutoka kwenye mtu uliyemtoa thamani...Huku ni kutojitambua unataka niniBwana mdogo tunapozungumzia ndoa na mzigo wenye viwango ni mambo tofauti.
Unajua lakini ni thamani ya nini kijana? tunazungumzia thamani ya kuoa na sio mambo yote.Unapozungumzia kumtoa thamani na kukupa mzigo wenye viwango kwako ni sawa?...Ni viwango ganii vinapatikana kutoka kwenye mtu uliyemtoa thamani...Huku ni kutojitambua unataka nini