Jinsi nilivyoipata Simu yangu iPhone 4s iliyopotea

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,402
Reaction score
13,764
Wakuu wiki iliopita wajanja walikata wavu wakakwapua kimeo cha shemeji yenu iphone 4, na kwa msaada wa apps za cydia nikafanikiwa kuipata iphone tena

Kwanza hatukukimbilia kuiweka kwenye lost mode icloud maana uwezekana wa kuipata ungekuwa mdogo

Iphone ipo jailbrake na nika install apps mbili kutoka cydia iLostfinder na inner

Kazi ya iLostFinder ni mtu akikikosea mara kadhaa kuingiza password basi itaonyesha ujumbe wa maandishi madogo kwa kadri utakavyokuwa unataka ujumbe gani (mfano unaweza kuandika usomeke " Simu imepotea tafadhali wasiliana na mwenyewe kwa no 086777 nk).
Na wakati anasoma hayo maandishi kwakuwa madogo hivyo atasogeza uso basi app hii itampiga picha na kutuma kwenye email ulioset
Pia inazuia mtu kuzima simu, simu haizimiki hadi iishe chaji

Kazi inner ni akibadili tu line inatuma sms kwa namba utakazo set hivyo utajua namba mpya inayotumia simu yako
Pia ina track sms, call log na pic kwenye camera roll, uki login kwenye web unaona kila anachofanya

Walipokwapua tu jumla ya sura 16 zikatumwa kwenye email . Zikiwemo za wezi na mafundi kadhaa wa simu hadi wa kariakoo

Wakafanikiwa kutoa screen lock, inner ikaanza kutuma kila simcard inayowekwa
Na pia ikaanza kutrack mawasiliano yote ya iphone ikiwemo. Sms, call log na picha

Kazi ikawa rahisi kama kumsukuma mlevi vile

Sura za wezi hatukuzutambua lakini tukatambua sura ya fundi simu wa tunapoishi, tukampiga biti na picha yake na muda tukamuonyesha, akamtaja teja aliyemtea aitoe lock ikamshinda akamrudishia, tukadaka teja tukaweka ndani, teka likasema limempa mshkaji wake akampa elf10 sababu simu hizi hazifunguki, huyo mshkaji wa teja alipopata taarifa akakimbia mji

Simu ikawa kinya kama wiki mbili haitumi chochote, mara ghafla zikaanza sms, tukajua imetolewa screen lock, ikabadilishwa line kama mara 4 hivi ya tano ikawa kimya, siku alipiingia online tu tukaanza kupata watu wote anao sms na anaopigiana nao simu na picha zake kibao anajipiga

Kulingana na sms tukajua hadi anapofanyia kazi tukaenda na polisi tukamdaka kama kuku wa kisasa
Akakiri kauziwa na mtu
Hatukutaka tabu tukachukua simu yetu tukasepa
 
Hii nimeipenda sana mkuu vp is it applicable to all smart phone
 
Say thank you to technology and respect the technology people.
 
Mayu,

Naona kama hii kitu nzuri ila sijaelewa...
 
Last edited by a moderator:
Hiyo mbona complicated AVG ndio mpango mzima na ina options za shout lock wipe na locate
Mkuu kwenye Android zipo apps nyingi sana zaidi ya hiyo AVG tatizo lake mwizi akifanya factory reset mchezo umekwisha

Lakini Iphone ukiijulia unadisable mtu asiweze kuinstall wala kudelete chochote wala kufanya hard reset
 
Ok yawezekana lakini Mimi nililetewa picha na location kuja kufuatilia ni fundi kapelekewa hakuwa mbishi akatoa ushirikiano nikampata mwizi wangu
 
Hapana mkuu nataka nijue ili niwe namwona mke wangu kila sehemu anayokwenda

Usihangaike namanyele akiamua kufanya kweli hashindwi anaenda mfano mpaka saluni akifika hapo anakujulisha kuwa simu inaisha chaji hivyo anaiweka kwa muda hapo saluni, anaiacha na kuchomoka pekeyake
 
Last edited by a moderator:
Wakuu wiki iliopita wajanja walikata wavu wakakwapua kimeo cha shemeji yenu iphone 4, na kwa msaada wa apps za cydia nikafanikiwa kuipata iphone tena

Kwanza hatukukimbilia kuiweka kwenye lost mode icloud maana uwezekana wa kuipata ungekuwa mdogo

Iphone ipo jailbrake na nika install apps mbili kutoka cydia iLostfinder na inner

Kazi ya iLostFinder ni mtu akikikosea mara kadhaa kuingiza password basi itaonyesha ujumbe wa maandishi madogo kwa kadri utakavyokuwa unataka ujumbe gani (mfano unaweza kuandika usomeke " Simu imepotea tafadhali wasiliana na mwenyewe kwa no 086777 nk).
Na wakati anasoma hayo maandishi kwakuwa madogo hivyo atasogeza uso basi app hii itampiga picha na kutuma kwenye email ulioset
Pia inazuia mtu kuzima simu, simu haizimiki hadi iishe chaji

Kazi inner ni akibadili tu line inatuma sms kwa namba utakazo set hivyo utajua namba mpya inayotumia simu yako
Pia ina track sms, call log na pic kwenye camera roll, uki login kwenye web unaona kila anachofanya

Walipokwapua tu jumla ya sura 16 zikatumwa kwenye email . Zikiwemo za wezi na mafundi kadhaa wa simu hadi wa kariakoo

Wakafanikiwa kutoa screen lock, inner ikaanza kutuma kila simcard inayowekwa
Na pia ikaanza kutrack mawasiliano yote ya iphone ikiwemo. Sms, call log na picha

Kazi ikawa rahisi kama kumsukuma mlevi vile

Sura za wezi hatukuzutambua lakini tukatambua sura ya fundi simu wa tunapoishi, tukampiga biti na picha yake na muda tukamuonyesha, akamtaja teja aliyemtea aitoe lock ikamshinda akamrudishia, tukadaka teja tukaweka ndani, teka likasema limempa mshkaji wake akampa elf10 sababu simu hizi hazifunguki, huyo mshkaji wa teja alipopata taarifa akakimbia mji

Simu ikawa kinya kama wiki mbili haitumi chochote, mara ghafla zikaanza sms, tukajua imetolewa screen lock, ikabadilishwa line kama mara 4 hivi ya tano ikawa kimya, siku alipiingia online tu tukaanza kupata watu wote anao sms na anaopigiana nao simu na picha zake kibao anajipiga

Kulingana na sms tukajua hadi anapofanyia kazi tukaenda na polisi tukamdaka kama kuku wa kisasa
Akakiri kauziwa na mtu
Hatukutaka tabu tukachukua simu yetu tukasepa[/QU

Samsung pia wana kitu kinaitwa Find my phone kwenye link ya Security ukipoteza simu unaweza kui truck
 
Aisee mdau nimekukubala kudadeki
Sasa uwezi kunisaidia na mimi hayo maufundi kwenye haka ka note 3 kangu ka ngama wasije wakakwapua kakapotea mazima aisee mdau tafadhali
 
Mkuu kwenye Android zipo apps nyingi sana zaidi ya hiyo AVG tatizo lake mwizi akifanya factory reset mchezo umekwisha

Lakini Iphone ukiijulia unadisable mtu asiweze kuinstall wala kudelete chochote wala kufanya hard reset

Kwa hyo mdau unataka kuniambia i phone ni zaidi ya simu mdau au cyo
Niitie sokoni haka ka note 3 kangu nijipinde nikae kwenye wala tu i phone6plus
 
Aisee mdau nimekukubala kudadeki
Sasa uwezi kunisaidia na mimi hayo maufundi kwenye haka ka note 3 kangu ka ngama wasije wakakwapua kakapotea mazima aisee mdau tafadhali

Kaka kaikatie na bima pia
 
Back
Top Bottom