Kuamini mtu/watu kwa 100% ni hatari sana
Bado una uwezo wa kutoka kimaisha,kupitia biashara hiyo ulliyokuwa unaifanya
Vipi kuhusu hiyo 10% ,maana umesema umepoteza 90%, anzia na hiyo asilimia iliyobaki uinuke tena ...urudi kule kwenye kuchuuza kabla ya kuzalisha mwenyewe
Japo unasema umepoteza 90% ya mtaji, lakini ninachokiona hapo una asilimia zaidi ya 10% unayodhani umebaki nayo...UZOEFU ULIO NAO KWENYE HIYO BIASHARA MTAJI TOSHA
Pia kama mtu ana mtaji na akakuamini kutoka humu mnaweza fanya biashara, lakini itabidi akubali ku gumble maana biashara yoyote ni some sort of gambling.
Sent from my M2004J19C using
JamiiForums mobile app