Wahenga walisema mbuzi wa masikini hazai hata akizaa anazaa dume, ni msemo wa muda mrefu ila naamini unaishi,
Mwaka 2016 nilifanikiwa kumaliza kidato cha 6 ila matokeo yalivyotoka sikufanikiwa kuwa na pass mark za kunifanya niendelee mbele katika kipindi hiko nilihisi kuchanganyikiwa kwasababu nyumbani mimi ndio mkubwa na wazazi walikuwa wameweka mategemeo makubwa kwangu na kwakuwa nyumbani hata msosi ulikua wa kuunga unga hivyo sikuwa na option ya kuendele tena mbele kuhusu maswala ya elimu.
Kipindi bado niko shule nilipokuwa nikirud likizo kuna rafiki yangu alikua chuo kuna bidhaa X alikua anauza so baada ya yeye kuona sina ishu ya kufanya na kipindi hiko alikua yuko mwaka wa 3 aliniambia nikimbize ile biashara yeye kwa kipindi hiko alikua na mambo mengi ya kufanya akiwa chuoni hivyo asingeweza kuwafikia wateja kwa urahisi
Japo haikuwa rahisi ila nilikimbiza ile biashara kiasi cha kwamba ilikua kwa haraka na pale nyumbani mchango wangu ukawa unaonekana kwa 70% badae nikaja kupata wazo badala ya kwenda kununua hizo bidhaa X kwanini nisifanye production mwenyewe nikajaribu kufanya utafiti wa vifaa na kuanza kununua mdogo mdogo basic tools zote.
Wateja wangu kwa 97% nilikua nawapata online kipindi nawatafuta wateja nilipata kufahamiina na jamaa mmoja yeye alikua anatoka mkoa Y ambapo aliniambia yeye anaweza kuzitengeneza hizo bidhaa hivyo wakati nafikiria kuzalisha mwenyewe nilijua kuna mtu nitaungana nae mwisho wa siku alifanikiwa kuja Dar tukafanya kazi pamoja
Kazi ya uzalishaji haikuwa rahisi kama nilivyotarajia maana ilikua na changamoto nyingi na inabidi uwe smart sana kuweza kui manage upande wa production kuja usimamizi wa kazi mpaka unapokuja kuuza na mwisho wa siku uione faida yako baada ya kutoa matumizi yote, mtaji na kuweka faida pembeni nashukuru niliweza kumudu vizuri kwa muda wa miaka 2 biashara ikawa imekuwa kubwa pia nilikua nmeshaanza kupata wateja nje ya nchi kama INDIA, BRAZILI, USA, OMAN NK kwa nchi za Afrika nchi zote za SOUTHEN AFRICA(SA,BOTSWANA,NAMIBIA,ZIMBABWE,ZAMBIA) na nchi nyingine za hapa jirani
Mikosi ilipoanza
Wakati biashara ipo kwenye peak nilipata mteja mmoja aliyekua nchi Z alikua ni mtz ila makazi yake pamoja na biashara yake yalikua huko tulianza biashara vizuri na alikua mteja wangu wa nguvu sana kabla ya kuwa ananunua kwangu alikua anatoa Kenya hizo bidhaa ila alipoanza kwangu wateja wake walizipenda sana so speed ya jamaa kuagiza mzigo kwangu ilikua kubwa mpaka nikaamini huko kuna fursa kubwa ya kutoboa zaidi kwa biashara yangu ikabidi niongee na jamaa akakubali kuwa atanipokea
Kabla sijatoka huku kulikuwa na jamaa yangu ambae nilikuwa nafanya nae kazi nikampanga yeye abaki mimi nikifika kule nitacheki mazingira yakiwa mazuri mimi nirudi yeye aende ili tuwe tunakimbiza huku na kule jamaa alikubali ila kwakuwa hakuna anayejua kesho kumbe nilikua najichimbia shimo kubwa mbele yangu
Safari ikaanza ya kwenda kule miaka miwili iliyopita nikafika salama na nikapokelewa vizuri nilienda na bidhaa kidogo ili kuangalia mazingira yapoje, baada ya kufika nikaona kwa nature ya biashara ilivyo ili kujitofautisha na wengine siwezi kuuzia chini maana ntapunguza value ya bidhaa pia nikacheki nikaona kuna uwezekano wa kupata fremu bei ilikua 200USD kwa mwezi almost 460000 ya kitanzania na sio kubwa sana kulinganisha na huku kwetu za street ambapo huku unapata kwa 70K ambayo haipo center ila kwa kule ya ukubwa huo utapata kwa 500USD kwa mwezi na kwa nature ya biashara yangu kutoa 200USD sikuwaza maana nilijua nikiuza bidhaa 20 tu nmepata hela ya kodi na hizo naweza uza hata kwa mtu mmoja
Changamoto ilianza kuja baada ya jamaa niliyemuacha huku alikua anashindwa ku manage vizuri pia tulianza process ya kumtafutia passport huku ila mchakato ulikua mrefu sana hivyo mpaka muda wa mimi kurudi huku baada ya miez mi 3 ya kukaa kule ilikua bado hajapata, nilifanikiwa kurudi japo kwa njia za panya maana nilizidisha siku za kukaa kule hivyo ningerudi kihalali ingejua shida kwangu so nilipofika huku ikabi nirudishe ofisi kama mwanzo huku nikisubiri jamaa apate passport aende kule na kipindi chote hiko frem ilikua imefungwa na kodi ilikua inahesabiwa kama kawaida.
Mpaka mwaka unakaribia kuisha jamaa alikuwa hajapata passport na mimi kadri muda ulivyokua unazidi kwenda nilijua jamaa muda wa kupata passport unakaribia hivyo sikuwaza na kwakuwa sikukuu zilikua zinakaribia nika target soko la kule pia nili target ku clear makosa ya mwanzo maana soko la online hata ukiwa na bidhaa mbili unauza ila kwenye frem inahitaji uwe na mzigo mkubwa na upangilie vizuri ili mteja akipita mzigo umuite na umvutie kwa mpangilio wake
Nikaingiza 90% ya mtaji wangu wote nikiamini naenda kuuaga umasikini maana nchi niliyokua naenda ilikua ni center ya nchi nyingine za ukanda wa kusini na wengi wao walikua wanakauja kuchukua mizigo hapo baada ya kila kitu kukamilika nikatuma mzigo na mm nikafika nkapanga mzigo vizuri ila safari hii ofisi ya Dar niliifunga kwa muda ili jamaa akija kule nirudi kuifungua, nilivyofika ikabidi nilipe miezi niliyokuwa nadaiwa baada ya hapo nikaanza kuuza mwaka jana mwanzoni, jamaa kapata passport so ikabdi mi nirudi yeye aje huku ila hata nilipofika huku mambo hayakuwa kama nilivyotarajia maana jamaa alisema hatoweza kwenda daah ilinikata sana nikiwaza 90% ya mtaji upo kule nikiwaza niende kule maana nakuwa naua ofisi ya huku na nikisema nibaki huku pia naua ofisi ya kule
Kila option niliyofikiria ili niweze ku maintain ofisi zote mbili ilifeli ikabidi niongee na jamaa aliye nipokea mwanzo nikamuomba anitolee mzigo wote anitumie huku na nikamtumia hela ya usafirishaji ila mwisho wa siku mzigo haukutumwa na kipindi hiko corona ilikuwa ishaanza kuingia Tanzania na mipaka yote ikafungwa so option ya kutuma mzigo ikashindikana na huku biashara ikaanza kudorola ikafikia stage nikawa nakosa hata hela ya pango nikiongea na jamaa kuhusu mzigo ananipiga chenga nikamwambia uza nitumie hela anadai biashara hakuna ila badae kwenye uchunguzi wangu nikaja kugundua jamaa aliuza inshort ameniingiza kwenye mataa na huo ndo ukawa mwisho wa biashara yangu
Kipindi biashara inafanya vzuri nilikua naona fursa nyingi za kibiashara nilikua nashaangaa kuona kijana anashindwa vipi kupanga mtu anakosaje hela ya vocha n.k ila saiv maisha yamebadilika ss ndo nimejua mtu anashindaje njaa na anakosaje kazi ya kufanya maana imefikia hatua kula yang tu ya shida fursa zote sizioni naishi kwa mshikaji tu nayy anakaribia kunichoka yani kila nikiwaza hatma ya maisha yangu siion
Nipo hapa wakuu kama mtu anafursa ya kazi iwe kibarua au parmanent sichagui kazi pia ninauzoefu wa mambo ya online marketing kama mtu ana bidhaa zake na anahitaji kuongeza sales naweza kufanya kazi hiyo pia, nipo dar, umri miaka 25 jinsia ya kiume na nipo tayar kwenda kufanya kazi mkoa wowote ule