Bwana bwana Kuna huyu ratiki yangu alipata kiasi cha kumtosha kabisa kujenga banda,nikamshauri Jenga hamia hilo gorofa utajenga pole pole ukiwa kwako!mmmh[emoji3]zote katia kwenye msingi wa gorofa na bado amepanga na hela imekata kabisa.
Maisha haya usiombe kutamani kukimbia wakati hata kutembea ni shida.
Sent using
Jamii Forums mobile app