Jinsi mwili mdogo unavyonitesa

Jinsi mwili mdogo unavyonitesa

Kwani umri wa mtu una angaliwa kwa umbile au vyeti husika? Usijali ndugu huenda hapo haikuwa riziki yako. Mungu atakufungulia mlango mwingine. Usijisikie mnyonge. Mungu aliyeruhusu uwe na umbile hilo ana kusudi lake jema tu katika maisha yako. Wewe jikubali na ujiamini. Endelea kupambana
 
asante sana mkuu! mwenyezi akuzidishie
 
Mimi ni kijana ninayekaribia miaka 20 sasa lakini kutokana na kuwa na mwili mdogo, naonekana kama mtoto wa miaka 16 na mara nyingi nimekuwa nikikataliwa ninapoenda kuomba kazi, inaniuma sana ..
Usihofu dogo akili ndio kila kitu wewe huoni jinsi magu anavyowahenyesha akina Kabudi, Kangi na mabouncer wengine. Au hata ka-Nyerere kalivyowapelekesha akina Malecela. Au hata akina Mwinyi na Mkapa walivyowapelekesha akina IGP nanii yule...Halafu bado wewe unakuwa hadi miaka 25 ndio utaacha kukua. Kwa sasa kuza akili yako.
 
asante sana mkuu??
 
Hivi unajua kuwa ndevu ndio ushahidi wa ukubwa wako, kama unazo basi hakikisha unazikusany za kutosha utaheshimika
 
Back
Top Bottom