Hakuna aliyeomba picha

mkuu sio kama ni mfupi kivile, nna medium height ila ndo ivyo naonekana dogoNenda jimu kapige nondo, halafu usiwe unapaka lotion paka sabubi ngozi ya uso ikakamea, utaonekana kijeba tu
Akiweka nitag 😁Em tuone picha
kuna factory moja jirani apa mkuuUlikataliwa Wapi
Wamekukataa Kisa Mdogo Hizo Kazi Labdakuna factory moja jirani apa mkuu
sio sababu mkuu kuna wengi tu nimewazidi urefu wanapiga kazi ndan umo ..Wamekukataa Kisa Mdogo Hizo Kazi Labda
Zilihitaji Watu Warefu
amna! kazi za hapa na pale tu za factorySio lazima uwe na mwili mkubwa!
Huo mwili wako unakutosha madhali una akili timamu.
Hizo kazi ni gani? Unabeba vyuma ama?
Mimi ni kijana ninayekaribia miaka 20 sasa lakini kutokana na kuwa na mwili mdogo, naonekana kama mtoto wa miaka 16 na mara nyingi nimekuwa nikikataliwa ninapoenda kuomba kazi, inaniuma sana ..