Jinsi Msaada ; Namna ya kuretreve / kurestore deleted sms

mkadiriajimajenzi

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
549
613
Naomben msaada wa kujulishwa application ya ios au namna yoyote ya kuretreve msg nilizofuta kwenye simu yangu
 
zipo software za kulipia ila kama hutaweza lipia.
ikiwa simu yako ni android fuata hizi/
1.download and install adb driver katika computer
2.install driver za simu yako katika computer.
3.Washa developer mode katika simu yako {setting>Developer mode} ikiwa hauioni nenda setting>about>duild number {bonyeza mara 3 harakA haraka. kisha rudi utaiona.
4.start ADB.exe
5.Conncet your phones to pc with usb.
6. andika adb device {clink enter}
7. andika adb su {click enter}
8. andika mount -o remount,rw /data
9.andika cat /data/data/com.android.providers.telephony/databases/mmssms.db > /sdcard/mysms.db {click enter}

msg zote zita coppied to memory card.

iwapo ita failed
andika ivi.
adb pull /data/data/com.android.providers.telephony/databases/mmssms.‌db


natumaini itakusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom