Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
Chadema kwa mara kadhaa imeahindwa kuendesha mikutano ya wazi ya kisiasa kwa kile kinachoitwa Ni kumjaribu Mhe. Mtukufu. Nyakati fulani chama cha Upinzani kinapaswa kuwa na mikakati mingi ya kuwafikia wapiga kura aidha kwa kupitia matukio au Vikao.
Kwa sasa zipo fursa ambazo kama chadema wakizitumia wanaweza kuiamsha Serikali usingizini na hivyo kuwanufaisha wananchi walengwa. Mojawapo ni kuanzisha mkakati maalumu wa kuchangia kaya zenye njaa ili ziweze kupata chakula - - - Chadema kwa uhakika wanaweza kupata taarifa juu ya maeneo yenye baa la njaa - - kwa kufanya hivyo mtukufu atakuwa amejaribiwa kimkakati zaidi
Pili ni kuanzisha kampeni maalumu ya kusaidia Wahanga wa Tetemeko ili waweze kumudu kurejesha makazi yako---kwa njia ya Mtukufu atakuwa amejaribiwa kupitia umma - - - - Ni kweli mkakati huu unahitaji fedha - - - Ni ukweli pia kupitia watu, na mikakati fedha inaweza kupatikana.