Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,489
Nimetolea mfano kuhusiana na matycons waliopo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujanja kumbe ni kupambana uwazidi watu na sio kupambana kwa ajiri ya maisha yako.
Kama hauna uwezo wa kufanya vitu vidogo vikubwa utawezaje....na akili kubwa ni akili kubwa
Na waume msituchoshe sasa. Wallahiii yani nikipata mchepuko basi huyo ni mume mpya. Maswala ya kuwapanga ni kuchoshana tu.Mwanamke kuchepuka Ni dhambi isiyosameheka kamwe, hongera kujitunza[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mabingwa mnakujaga na watoto tu na kusingizia shetani aliwapitia.Ndio hapo sasa mimi kama mwanaume sikuoneshi dalili zozote za uchepukaji
Wewe tulia... omba Mungu akusaidie...Hii sijui ni chai ya moto au ya baridi. Ila sijawahi kuona siwezi kubisha.
Yaani mimi nichepuke eti niwe na furaha huo ni ufuska tu. The day I set my feet out kwenda kwa mchepuko ni kwamba mume amenichosha[emoji1373]
Umeongea ukweli,nchi inavijana wa ovyo sana 🙁Hongera mno zipeleke mpaka kwa wajukuu zako. Na huu Uzi uutunze ili kizazi chako kijivunie kwa kuwa na babu mwenye mbinu zake za kula mbususu. Yaani Africans Americans and Africans for love affairs and luxury and music we're so damn fakking good than any racem. Let us beat our chest and remove our shirts so that we walk kifua wazi. Isn't it? Type Basi na maujanja japo Bei ya chakula ishuke na vijana watapataje Ajira. Yaani tunabadilisha penye mbususu tunaweka maisha
Nkupe wine uongee?Sina neno leo
Utakuwa umefanya la maana.Nkupe wine uongee?
Mzee hata wewe unaakili sana hadi umeyaona hayo..... ila kuna vichwa panzi wengi hawajui kutenganisha michepko na fsmiliaNimependa hii thread kwa sababu zifuatazo....
1. Moja mwandishi anampenda mke wake
2. Mwandishi anamtumza mke wake ... kupitia zawadi...
3. Mwandishi anafanya maendeleo.....(site)
4. Ana malezi bora ya watoto ....
5. Mwandishi anaufahamu wa mke na mchepuko....
Mwandishi wewe utakuwa mmoja kati ya wanaume wenye akili sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hii nomaYaan mke wang ana uwezo mkubwa sana wa kugundua kuwa nachepuka hadi nimeamua kufanya hata kama akijua shauri yake yaan ana hisia za hatar sana
Maana hata yeye kabla sjamuoa alikuwa ananisaliti tena kwa wanaume za watu,sasa mbinu zote anazijua,kacheza sana na wanaume za watu