Jinsi mama Lucy alivyoniokoa

Jinsi mama Lucy alivyoniokoa

42ee58fb794032ce15ac33304d49130a.jpg
 
Sitasahau japo imetokea karibu miaka mitatu iliyopita, huwa nina mazoea ya kwenda kwenye baa moja mida ya jioni baada ya kutoka kwenye mihangaiko au siku za mapumziko, hali hii ilisababisha kuzoeana na wahudumu karibu wote wa baa ile especially huyo ambaye alikuwa akijulikana kama mama Lucy ambaye alikuwa kaunta.

Kama ilivyo ada kwa wanaume, nikaomba gemu, mama Lucy hakuwa na hiyana, akanikubalia, shida ikawa kwenye utekelezaji wa appointment yetu, kila tukipanga analeta visingizio, leo wateja wamezidi, kesho naumwa, kesho kutwa kuna mgeni home nk, hadi nikachukia, nikawa simsalimii na wala ofa ya bia simpi, pia nikapunguza sana mahudhurio kwenye baa ile.

Maisha yakasonga, muda si mwingi zikaanza kusikika rumours kuwa mama lucy 'ameumia' na mambo yetu haya, baada ya muda si mrefu hali yake ikaanza kuwa dhaifu kiasi kwamba ikabidi arudishwe kwao na hivi karibuni kuna habari kuwa mama Lucy hatunae tena, kumbe aliamua kuniponya ki-dizaini.

Alazwe pema peponi, Amen
ningekuwa mimi title ingekuwa hivi, " jinsi Mungu alivyoniokoa"
 
Sasa hivi utakutana na Mama Sikujua akubariki.
 
Ina ulikuwa na mpango Wa kumla bila ya buti?Duuh..we Ni zaidi ya Osama atii.
 
Kwahiyo mkuu ulijipanga kuuza mechi staili ya "inzi kafia kwenye kidonda" tena kwa barmaide?? Ivi unaanza anzaje kwanza?!
Mboni mimi nawatwangaga peku tu!
Hata yule mtoto wa mheshimiwa naniliu yule binti aliyemaliza chuo Udsm mwaka jana si wanasemaga naye amewaka?
Mi nilimtwanga hivyohivyo na mpaka sasa niko fiti!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom