sangujoseph
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 164
- 184
Ni wivu tu.Dozen hana muonekano wa TV unabwata bwata tu.
Hii ni makala ?
Dozen hana muonekano wa TV unabwata bwata tu.
Hapana ila hata kwenye kozi za uandishi wa habari wanafundishwa kuhusu hizo looks muulize Pascal Mayalla.Sasa kama dozen hana muonekano wa TV,inaoneakana uko kwenye tv kutakuwa na ma HB wengi sana?
Kwamba ile sura na mdomo kama Lilian Mwasha atangaze kipindi cha Tv ahahahaha!Ni wivu tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni wivu tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dhaaa ww jamaaaKwamba ile sura na mdomo kama Lilian Mwasha atangaze kipindi cha Tv ahahahaha!
domo la dozen liko upande
Kama nadaganya sema.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dhaaa ww jamaaa
DuuKwamba ile sura na mdomo kama Lilian Mwasha atangaze kipindi cha Tv ahahahaha!
domo la dozen liko upande
Sura ya Tv ni ya nani ni ipi??Kama nadaganya sema.
Dozen hana sura ya Tv ila anasauti nzuri ya Radio
Mbona orodha ni ya Watu wa kampuni moja tu? anyway, kwa hiyo hapo Sam sasali kapenya? .Hapana ila hata kwenye kozi za uandishi wa habari wanafundishwa kuhusu hizo looks muulize Pascal Mayalla.
.
mtu kama Adam Mchomvu, Mamy baby, Kennedy, George bantu, PJ, Barbara hassan, Queen Fifi (Frida amani), Diva, Husna Abdul, Gea Habib, Millard Ayo, Meena Ally, Alex lwambano, Issa Maeda wana sura mbovu ama mionekano mibovu.
.
Mchukue Aloyce Sazia muweke na Dozen uone looks ya Tv huwa ikoje.
au mchukue Tony360 muweke na Mchomvu uone looks ya Tv, au Shadee na Lilian Mwasha uone kama hujacheka uanguke
Mtafute Aloyce Sazia Mapembe wa ITV, Shadee Weris wa Clouds, Mahija Zayumba wa clouds, Aaliya wa wasafi, Elizabeth Mramba wa TBC, Alpha Wawa wa TBC, Tony Albert wa EATV linganisha na watangazaji wakoSura ya Tv ni ya nani ni ipi??
Wewe unatangaza tv gani?
Nimejaribu kutaja naowakumbuka haraka haraka, Queen Fifi ni wa EA radio.Mbona orodha ni ya Watu wa kampuni moja tu? anyway, kwa hiyo hapo Sam sasali kapenya? .
Na kwenye tv si yupo?Nimejaribu kutaja naowakumbuka haraka haraka, Queen Fifi ni wa EA radio.
.
Sam Sasali ana sura ya Radio ila hana sauti ya Radio do you get me?