Nilikuwa siamini kinachoendelea hapa kama kingelitokea Tazania tuliyoizoea ya mani na upendo. Nimeelewa kuwa wanaojilipua kumbe wana just course! (najua nitashambuliwa, but let me say it). Wapalestina kama wana feelings kama ulizozianisha, basi tuna wajibu wa kujitafakari tena uongozi wetu! Kwa mfano, hili la Lisu , Saanane, Azory etc yamekaa tayari kwenye nyoyo za watu, yapo yanawasukuma wafanye nini, na lini ...... tuyaepuke haya , bado tuna nafasi ya kurekebisha.Habari wadau;
Mimi kitaaluma ni mwanasaikolojia na kwa muda sasa nimekuwa nikifanya study ya personality development kuanzia utotoni mpaka uzeeni.Katika tafiti zangu pia ninatazama maswala ya sexuality development na Gender identity.Mara nyingi huwa ninapenda kuyatafiti ya maswala ambayo yaka katika grey areas katika tamaduni,siasa,mapenzi n.k.Kiasi kikubwa cha tafiti zangu kwa sasa sio kwa ajili ya public consumption hasa kwa kuwa nyingi ya hizi mada ni sensitive na mahitimisho yangu ni controversial.
Leo nataka nizungumzie suala la Ugaidi(Terrorism) na namna ugaidi unavoanza.Kwanza nifafanue kidogo maana ya ugaidi kwamba ni matumizi ya vitisho kwa ajili ya kulazimisha kusikilizwa.Wengi huishia hapo na mara zote tumefikia kuwaona magaidi kuwa ni watu wabaya bila kusahau kuwa kimsingi watu hufanya ugaidi baada ya kufanyaiwa ugaidi wa kimfumo(Systematic Terrorism)
Ninapozungumzia Systematic Terrorism nazungumzia matumizi ya nguvu yaliyo ndani ya mfumo wa kijamii au kiserikali ambaye ama yanakubaliwa na wengi au hata wachache ambao wana nguvu.Mfano ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa kuminya uhuru wa watu fulani,kutishia watu kuua wapinzani na kuwatishia.Mambo haya yote pamoja na utungaji wa sheria kandamizi ni namna ambazo zinatumika katika Systemic Terrorism.Systemic terrorism inaweza kuwa justified kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuimarisha usalama,kulinda amani n.k.
Ingawa wakati yanapofanyika huwa watu wanaweza wasione madhara lakini ugaidi wa kimfumo mara nyingi hukua na kufika mahali na kuwa ni unyanya saji na dhuluma na matokeo yake baadhi ya wanajamii hujiona kama wao ndio wanaonyanyaswa.watendaji wa ugaidi huu hufika mahali wakaanza kuwa wabaguzi katika utekelezaji wa mambo hayo na hii upelekea baadhi ya watu kujiona kwamba wako marginalized.
Kama ilivyo kawaida ,ukandamizaji wowote haudumu.Hufika wakati yule mkandamizwaji huamua kutaka kujitetea na hapo ndipo huibuka aina ya magaidi wanaoogopwa na kuchukiwa zaidi.Hawa ni magidi ambao ni non selective na ambao huuwa watu ambao hawana hatia na huwa tayari kufa katika kutetea kila wanachoamini.Hawa hujitoa mhanga maisha yao wenyewe ila wadai haki yao ni tofauti na magaidi wa systemic ambao ni selective na huwa wanalinda maisha yao.
Magaidi hawa wengi wao hutengenezwa kama matokeo ya mfumo tishio.
Nini lengo la andiko langu hili?
Lengo langu ni kuwaasa wana JF muyatazame kwa karibu matukio yote yanayotokea popote hapa nchini ambayo yanalenga kuwakandamiza watu kwa namna yoyte ile.Kama mko katika mfumo na mna nafasi ya maamuzi basi mfahamu kuwa pamoja na wanadamu kuwa nauwezo wa kuvumilia lakini uwezo wakuvumilia unamwisho wako hivyo nimuhimu mzingatie yafuatayo:
Nitoe Angalizo:Walioko Magerezani ni Watanzania kama ambavyo walioko huru.Walioko makaburini ni raia watanzania kama walio hai.Wanaotawala ni raia wa Tanzania kama walivyo wapinzani.Wajinga ni raia wa Tanzania kama walivyo werevu.Tusifundishane uoga kwani uoga huzaa chuki na chuki ni adui wa kwanza wa Tumaini la Watu
- Kwanza wasikilizeni na kwa kuwasikiliza namaanisha muwaache waseme.
- Pili kama kuna mifumo kandamizi ambayo haina maslahi ya msingi basi iondosheni,iwe ni sheria kandamizi,au watu wenye element za ubaguzi basi waondoeni kwani hofu huzaa chuki na chuki huzaa ugaidi
- Tatu nchi hii niyetu sote,Watanzania tunapendana,tusianze kufundishana chuki.tushirikiane kujenga nchi ila tusinyanyasane bali tuheshimiane
- Wanasiasa wawe makini na kauli zao lakini hata inapobidi kusema basi watu washindane kwa hoja sio viroja
- Viongozi wa dini tuepuka kauli tata
- Viongozi wa serikali tuheshimu wananchi,haitoshi tu kusema bali na matendo yetu yaonyeshe hilo
- Wananch tuheshimu serikali ili tusiiogopa,hii ni serikali yetu tuwasaidie wafanye kazi vizuri
I stand to be corrected
Wasalaam
PBK
Lengo langu sio kuelimisha ila kuchangamsha fikra,Gaidi ni mtu yeyote,anayefanya matendo ya kitisho kwa lengo la ama kueleze maoni au hisia zake au kudai haki yake.Mara nyingi magaidi huamini kuwa matendo yao yatafanya mambo yaende kama wanvyotaka na mara nyingine hutaka kisasi tu.Yote kwa yote Gaid aweza kuwa mtoto wako pale nyumbani anayeamua kuvunja sahani kwa sababu anataka kitu fulani kutoka kwako ingawa katika kupunguza makali huyo tutamuita mkaidi.mkuu nimesoma threa
d yako lkn bado sijapata kile nilichotalaji kukipata
lbda nikuulize swari au maswari
1. UGAIDI ni nini ?
2. ili mpaka tukio liitwe la KIGAIDI inatakiwa liwe la aina gani
3. ili mtu mpaka uitwe GAIDI unatakiwa uwe na VIGEZO gani ambavyo vitakutambulisha kuwa wewe ni GAIDI
4.GAIDI ni mtu wa aina gani hasa
mzungu;mwarabu,black ,black afrcan ,muislamu ,mwarabu mfunga vilemba ,mtu mwenye msimamo mkali wa dini, mkrsto,mtetea haki sawa mpagani, mbeba bendela nyeusi au ni mpinga ubaguzi wa rangi au ni yupi hasa
Habari wadau;
Mimi kitaaluma ni mwanasaikolojia na kwa muda sasa nimekuwa nikifanya study ya personality development kuanzia utotoni mpaka uzeeni.Katika tafiti zangu pia ninatazama maswala ya sexuality development na Gender identity.Mara nyingi huwa ninapenda kuyatafiti ya maswala ambayo yaka katika grey areas katika tamaduni,siasa,mapenzi n.k.Kiasi kikubwa cha tafiti zangu kwa sasa sio kwa ajili ya public consumption hasa kwa kuwa nyingi ya hizi mada ni sensitive na mahitimisho yangu ni controversial.
Leo nataka nizungumzie suala la Ugaidi(Terrorism) na namna ugaidi unavoanza.Kwanza nifafanue kidogo maana ya ugaidi kwamba ni matumizi ya vitisho kwa ajili ya kulazimisha kusikilizwa.Wengi huishia hapo na mara zote tumefikia kuwaona magaidi kuwa ni watu wabaya bila kusahau kuwa kimsingi watu hufanya ugaidi baada ya kufanyaiwa ugaidi wa kimfumo(Systematic Terrorism)
Ninapozungumzia Systematic Terrorism nazungumzia matumizi ya nguvu yaliyo ndani ya mfumo wa kijamii au kiserikali ambaye ama yanakubaliwa na wengi au hata wachache ambao wana nguvu.Mfano ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa kuminya uhuru wa watu fulani,kutishia watu kuua wapinzani na kuwatishia.Mambo haya yote pamoja na utungaji wa sheria kandamizi ni namna ambazo zinatumika katika Systemic Terrorism.Systemic terrorism inaweza kuwa justified kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuimarisha usalama,kulinda amani n.k.
Ingawa wakati yanapofanyika huwa watu wanaweza wasione madhara lakini ugaidi wa kimfumo mara nyingi hukua na kufika mahali na kuwa ni unyanya saji na dhuluma na matokeo yake baadhi ya wanajamii hujiona kama wao ndio wanaonyanyaswa.watendaji wa ugaidi huu hufika mahali wakaanza kuwa wabaguzi katika utekelezaji wa mambo hayo na hii upelekea baadhi ya watu kujiona kwamba wako marginalized.
Kama ilivyo kawaida ,ukandamizaji wowote haudumu.Hufika wakati yule mkandamizwaji huamua kutaka kujitetea na hapo ndipo huibuka aina ya magaidi wanaoogopwa na kuchukiwa zaidi.Hawa ni magidi ambao ni non selective na ambao huuwa watu ambao hawana hatia na huwa tayari kufa katika kutetea kila wanachoamini.Hawa hujitoa mhanga maisha yao wenyewe ila wadai haki yao ni tofauti na magaidi wa systemic ambao ni selective na huwa wanalinda maisha yao.
Magaidi hawa wengi wao hutengenezwa kama matokeo ya mfumo tishio.
Nini lengo la andiko langu hili?
Lengo langu ni kuwaasa wana JF muyatazame kwa karibu matukio yote yanayotokea popote hapa nchini ambayo yanalenga kuwakandamiza watu kwa namna yoyte ile.Kama mko katika mfumo na mna nafasi ya maamuzi basi mfahamu kuwa pamoja na wanadamu kuwa nauwezo wa kuvumilia lakini uwezo wakuvumilia unamwisho wako hivyo nimuhimu mzingatie yafuatayo:
Nitoe Angalizo:Walioko Magerezani ni Watanzania kama ambavyo walioko huru.Walioko makaburini ni raia watanzania kama walio hai.Wanaotawala ni raia wa Tanzania kama walivyo wapinzani.Wajinga ni raia wa Tanzania kama walivyo werevu.Tusifundishane uoga kwani uoga huzaa chuki na chuki ni adui wa kwanza wa Tumaini la Watu
- Kwanza wasikilizeni na kwa kuwasikiliza namaanisha muwaache waseme.
- Pili kama kuna mifumo kandamizi ambayo haina maslahi ya msingi basi iondosheni,iwe ni sheria kandamizi,au watu wenye element za ubaguzi basi waondoeni kwani hofu huzaa chuki na chuki huzaa ugaidi
- Tatu nchi hii niyetu sote,Watanzania tunapendana,tusianze kufundishana chuki.tushirikiane kujenga nchi ila tusinyanyasane bali tuheshimiane
- Wanasiasa wawe makini na kauli zao lakini hata inapobidi kusema basi watu washindane kwa hoja sio viroja
- Viongozi wa dini tuepuka kauli tata
- Viongozi wa serikali tuheshimu wananchi,haitoshi tu kusema bali na matendo yetu yaonyeshe hilo
- Wananch tuheshimu serikali ili tusiiogopa,hii ni serikali yetu tuwasaidie wafanye kazi vizuri
I stand to be corrected
Wasalaam
PBK
Naamini kama siko sahihi False Flag Terror hutumiwa zaidi na hawa wanao advocate Systemic Terror huku lengo lao likiwa nikuendelea kuwakandamiza hawa ambao abaadye wakichoka hujeuka kuwa Magaidi kweli kweli.Naweza kosolewaIli mada yako ikamilike napenda uzungumzie kile kinachoitwa FALSE FLAG TERROR ambayo kimsingi asilimia 85% ya matukio ya kigaidi kwa sasa duniani yanatokana na ugaidi huu.