Malaria Sugu na FaizaFoxy wame hijack akili zako??Mimi ni Mkatoliki, kutokana na heshima kwa dhehebu langu sio busara kuujadili humu usafi wa Kanisa Katoliki ila kutaka kumtenga EL kwa kisingizio si msafi hakina mashiko. Kwani Masiya alikuja kwa ajili ya waliopotea na wasio wakamilifu. Nimebahatika kufika mpaka Rome na kuishuhudia lile dungu la dhahabu pale juu kwenye ule mduara, si wengi wanajua hìlo dungu lilitoka wapi na lilipatikanaje mpaka kufika hapo!. Sio wengi wanawajua the realy funders wa Vatican!. EL anauchafu gani wa kuwa despised na Kanisa Katoliki!. Tatizo la kanisa letu, the right men ni kwao ni Wakatoliki tuu kama alivyokuwa Julius, akaja Beninyamini na sasa wanampigia chapuo Berinado au Wilibodi!. Kwa vile EL ni Mlutheri, huyo kwao sio!.
i doubt kama unaweza ku-differentiate kati ya imani ya kanisa na imani ya mtu mmoja mmoja, kufika rome hakukufanyi ujue mambo ya kanisa..walichosema ni kwamba protokali haikufuatwa, and who is lowassa?ni kiongozi wa serikali?alikuwa mgini rasmi? he is just an MP na hiyo makes no difference!!!!!!Mimi ni Mkatoliki, kutokana na heshima kwa dhehebu langu sio busara kuujadili humu usafi wa Kanisa Katoliki ila kutaka kumtenga EL kwa kisingizio si msafi hakina mashiko. Kwani Masiya alikuja kwa ajili ya waliopotea na wasio wakamilifu. Nimebahatika kufika mpaka Rome na kuishuhudia lile dungu la dhahabu pale juu kwenye ule mduara, si wengi wanajua hìlo dungu lilitoka wapi na lilipatikanaje mpaka kufika hapo!. Sio wengi wanawajua the realy funders wa Vatican!. EL anauchafu gani wa kuwa despised na Kanisa Katoliki!. Tatizo la kanisa letu, the right men ni kwao ni Wakatoliki tuu kama alivyokuwa Julius, akaja Beninyamini na sasa wanampigia chapuo Berinado au Wilibodi!. Kwa vile EL ni Mlutheri, huyo kwao sio!.
Mkanganyiko upo wapi mkuu? Pengo amesema pLuwasa alijialika. Hakuna mahali ilipoandikwa Kanisa limesema Luwasa alijialika. Sasa wewe ulitaka iweje?
Naomba niliweke sawa hili na ieleweke kuwa msemaji mkuu wa Kanisa katoliki Tanzania ni Mwenyekiti wa TEC kwa sasa Mhashamu askofu Ruwaichi ambaye pia ni Askofu mkuu wa Mwanza. Hii ni kwa mujibu wa sheria za Kanisa(Canon Law). Pengo kazi yake ni kushauri Papa(Baba Mtakatifu huko Rome) na si vinginevyo. Cheo cha kiutendaji alicho nacho hapa nchini ni Askofu Mkuu wa Jimbo la DSM. Ukardinali haumpi mamlaka ya kuwa msemaji mkuu wa Kanisa katoliki Tanzania hata mara mmoja. Hivyo kisheria kama kweli amesema maneno hayo basi hayo yanabaki kuwa maoni na mtazamo wake binfsi. Huu siyo matazama wala maoni ya Kanisa Katoliki Tanzania. Jamii ya watanzania inatakiwa kuzipuuza kauli nyingi zilizojaa utata na ubaguzi anazotoa Kardinali Pengo.Hayo yanabaki kuwa maoni yake binafsi kama Pengo.
Siku ya tukio;
Askofu Mkuu Ruwaichi alikuwepo.
Askofu Ruwaichi alitoa hotuba.
Askofu Ruwaichi aliwakaribisha watu wote, bila kauli yoyote ya ubaguzi kama anayosema Pengo.
Note well:-Kardinali Pengo asiingilie kazi ya mwenyekiti wa TEC.
-Kardinali Pengo aache uroho wa madaraka, hana Locus Standi katika hili.
-Kardinali Pengo ana ubabe wa kizamani ambao umepitwa na wakati.
-Kardinali Pengo anapenda kujikweza kana kwamba yeye ndo MUNGU wa watanzania.
Neno la MUNGu: Yesu Kristo yeye mwenyewe alisema: "Sikuja kwaajili ya wenye haki, bali wenye dhambi".Yesu Kristo alikula na wadhambi, alishirikiana na wadhambi bila yeye kuwa na dhambi.
OMBI: Naomba nimkumbushe Pengo kuwa anapotoa kauli zake ajue kuku yeye ni mchungaji wa wema na wabaya. Ajue kuwa Mungu anawapenda watu wote bila ubaguzi.Hii ni aibu kwa mtu msomi wa Teolojia kama Pengo kukurupuka na kuanza kuropoka hovyohovyo namna hii.Atambue kuwa Raisi ndiyo kiongozi mkuu wa nchi, hivyo inastahili heshima zake. Pengo aache kuropoka ropoka hovyo hovyo kama mlevi.Mbona maaskofu wenzake wamekaa kimya? Yeye ni nani?
Mimi ni Mkatoliki, kutokana na heshima kwa dhehebu langu sio busara kuujadili humu usafi wa Kanisa Katoliki ila kutaka kumtenga EL kwa kisingizio si msafi hakina mashiko. Kwani Masiya alikuja kwa ajili ya waliopotea na wasio wakamilifu. Nimebahatika kufika mpaka Rome na kuishuhudia lile dungu la dhahabu pale juu kwenye ule mduara, si wengi wanajua hìlo dungu lilitoka wapi na lilipatikanaje mpaka kufika hapo!. Sio wengi wanawajua the realy funders wa Vatican!. EL anauchafu gani wa kuwa despised na Kanisa Katoliki!. Tatizo la kanisa letu, the right men ni kwao ni Wakatoliki tuu kama alivyokuwa Julius, akaja Beninyamini na sasa wanampigia chapuo Berinado au Wilibodi!. Kwa vile EL ni Mlutheri, huyo kwao sio!.
wewae ndo unaropoka ovyo kumtukana kardinali kwa kigezo cha kufahamu cano law. Alichosema mwadhama kardinali ni kukiukwa kwa protocal, ujue yeye ni askofu mkuu wa dar es salam, majimbo ya ifakara, lindi, mtwara, morogoro, yapo kwenye arch diocese ya dsm ambayo pengo ndo msemaji wake. Askofu mkuu ruwaichi kimamalaka ni askofu mkuu wa mwanza, linapokuja swala la dayosisi zilizoko dsm kama ifakara pengo ni bosi, penda usipende. Alichokasirika pengo ni ukikwaji wa protokali uliofanywa makusudi labda kwa harufu ya rushwa! Ulitaka yeye kama askofu mkuu akae kimyaa.? Lowasa anaweza kuwanunua nyie wote hasa wewe lakini hawezi kutununua sisi wote! Pili kardinali hajamtenga lowasa ndo maana alimruhusu ainie kwenye ibada. Ambacho kardinali, wewe na mimi hatukitaki ni lowasa kutumia madhabahu takatifu kama jukwaa lake la siasa kujisafisha, kamwe hilo halikubaliki, anajua vema mahali anapostahili kujisafisha hilo halina mashaka.naomba niliweke sawa hili na ieleweke kuwa msemaji mkuu wa kanisa katoliki tanzania ni mwenyekiti wa tec kwa sasa mhashamu askofu ruwaichi ambaye pia ni askofu mkuu wa mwanza. Hii ni kwa mujibu wa sheria za kanisa(canon law). Pengo kazi yake ni kushauri papa(baba mtakatifu huko rome) na si vinginevyo. Cheo cha kiutendaji alicho nacho hapa nchini ni askofu mkuu wa jimbo la dsm. Ukardinali haumpi mamlaka ya kuwa msemaji mkuu wa kanisa katoliki tanzania hata mara mmoja. Hivyo kisheria kama kweli amesema maneno hayo basi hayo yanabaki kuwa maoni na mtazamo wake binfsi. Huu siyo matazama wala maoni ya kanisa katoliki tanzania. Jamii ya watanzania inatakiwa kuzipuuza kauli nyingi zilizojaa utata na ubaguzi anazotoa kardinali pengo.hayo yanabaki kuwa maoni yake binafsi kama pengo.
siku ya tukio;
askofu mkuu ruwaichi alikuwepo.
Askofu ruwaichi alitoa hotuba.
Askofu ruwaichi aliwakaribisha watu wote, bila kauli yoyote ya ubaguzi kama anayosema pengo.
note well:-kardinali pengo asiingilie kazi ya mwenyekiti wa tec.
-kardinali pengo aache uroho wa madaraka, hana locus standi katika hili.
-kardinali pengo ana ubabe wa kizamani ambao umepitwa na wakati.
-kardinali pengo anapenda kujikweza kana kwamba yeye ndo mungu wa watanzania.
neno la mungu: yesu kristo yeye mwenyewe alisema: "sikuja kwaajili ya wenye haki, bali wenye dhambi".yesu kristo alikula na wadhambi, alishirikiana na wadhambi bila yeye kuwa na dhambi.
ombi: Naomba nimkumbushe pengo kuwa anapotoa kauli zake ajue kuku yeye ni mchungaji wa wema na wabaya. Ajue kuwa mungu anawapenda watu wote bila ubaguzi.hii ni aibu kwa mtu msomi wa teolojia kama pengo kukurupuka na kuanza kuropoka hovyohovyo namna hii.atambue kuwa raisi ndiyo kiongozi mkuu wa nchi, hivyo inastahili heshima zake. Pengo aache kuropoka ropoka hovyo hovyo kama mlevi.mbona maaskofu wenzake wamekaa kimya? Yeye ni nani?
Mimi ni Mkatoliki, kutokana na heshima kwa dhehebu langu sio busara kuujadili humu usafi wa Kanisa Katoliki ila kutaka kumtenga EL kwa kisingizio si msafi hakina mashiko. Kwani Masiya alikuja kwa ajili ya waliopotea na wasio wakamilifu. Nimebahatika kufika mpaka Rome na kuishuhudia lile dungu la dhahabu pale juu kwenye ule mduara, si wengi wanajua hìlo dungu lilitoka wapi na lilipatikanaje mpaka kufika hapo!. Sio wengi wanawajua the realy funders wa Vatican!. EL anauchafu gani wa kuwa despised na Kanisa Katoliki!. Tatizo la kanisa letu, the right men ni kwao ni Wakatoliki tuu kama alivyokuwa Julius, akaja Beninyamini na sasa wanampigia chapuo Berinado au Wilibodi!. Kwa vile EL ni Mlutheri, huyo kwao sio!.
wewae ndo unaropoka ovyo kumtukana kardinali kwa kigezo cha kufahamu cano law. Alichosema mwadhama kardinali ni kukiukwa kwa protocal, ujue yeye ni askofu mkuu wa dar es salam, majimbo ya ifakara, lindi, mtwara, morogoro, yapo kwenye arch diocese ya dsm ambayo pengo ndo msemaji wake. Askofu mkuu ruwaichi kimamalaka ni askofu mkuu wa mwanza, linapokuja swala la dayosisi zilizoko dsm kama ifakara pengo ni bosi, penda usipende. Alichokasirika pengo ni ukikwaji wa protokali uliofanywa makusudi labda kwa harufu ya rushwa! Ulitaka yeye kama askofu mkuu akae kimyaa.? Lowasa anaweza kuwanunua nyie wote hasa wewe lakini hawezi kutununua sisi wote! Pili kardinali hajamtenga lowasa ndo maana alimruhusu ainie kwenye ibada. Ambacho kardinali, wewe na mimi hatukitaki ni lowasa kutumia madhabahu takatifu kama jukwaa lake la siasa kujisafisha, kamwe hilo halikubaliki, anajua vema mahali anapostahili kujisafisha hilo halina mashaka.
Kuhusu yesu kuja kwa ajili ya wenye dhambi ni kweli, tena kwa ajili ya watu kama lowasa, kwa kuwa watu hawa wanahubiri kuhusu ubora wa maji wakati wao wanakunywa divai. Wanakunwa kijanja na ukosefu wa ajira, ukosefu waliosababisha baada ya ujambazi kama vile richmond. Hakuna kiongozi wa dini atakayekubali kukumbatia watu hawa. Ushauri wangu ni kuwa nunua hiyo nakala ya kiongozi utamwelewa zaidi mhashamu askofu pengo
uliuona huo mwaliko kama ,uliuona ulikuwa unasemaje,umetumwa na LOWASA kumtetea dhidi ya kanisa auKanisa liache ubabaishaji. Taarifa za lowasa kualikwa zilitolewa siku nyingi kabla na kweli ikawa hivyo!
Pasco kama kawaida yako unamtetea sana EL.
weka pembeni ushabiki wa urais kwa EL hata kama bahasha zake zinakufikia,haya ni mambo ya imani katoliki,Lowasa hataupata urais kwa giliba hata siku moja kama anavyofanya,kwanza siku ili alitaka kucheza mchezo wa kulazimisha kupiga picha na kardinali pengo,ili muweke JFkama ishara ya kukubalika kwake na kanisa katoliki.Naomba niliweke sawa hili na ieleweke kuwa msemaji mkuu wa Kanisa katoliki Tanzania ni Mwenyekiti wa TEC kwa sasa Mhashamu askofu Ruwaichi ambaye pia ni Askofu mkuu wa Mwanza. Hii ni kwa mujibu wa sheria za Kanisa(Canon Law). Pengo kazi yake ni kushauri Papa(Baba Mtakatifu huko Rome) na si vinginevyo. Cheo cha kiutendaji alicho nacho hapa nchini ni Askofu Mkuu wa Jimbo la DSM. Ukardinali haumpi mamlaka ya kuwa msemaji mkuu wa Kanisa katoliki Tanzania hata mara mmoja. Hivyo kisheria kama kweli amesema maneno hayo basi hayo yanabaki kuwa maoni na mtazamo wake binfsi. Huu siyo matazama wala maoni ya Kanisa Katoliki Tanzania. Jamii ya watanzania inatakiwa kuzipuuza kauli nyingi zilizojaa utata na ubaguzi anazotoa Kardinali Pengo.Hayo yanabaki kuwa maoni yake binafsi kama Pengo.
Siku ya tukio;
Askofu Mkuu Ruwaichi alikuwepo.
Askofu Ruwaichi alitoa hotuba.
Askofu Ruwaichi aliwakaribisha watu wote, bila kauli yoyote ya ubaguzi kama anayosema Pengo.
Note well:-Kardinali Pengo asiingilie kazi ya mwenyekiti wa TEC.
-Kardinali Pengo aache uroho wa madaraka, hana Locus Standi katika hili.
-Kardinali Pengo ana ubabe wa kizamani ambao umepitwa na wakati.
-Kardinali Pengo anapenda kujikweza kana kwamba yeye ndo MUNGU wa watanzania.
Neno la MUNGu: Yesu Kristo yeye mwenyewe alisema: "Sikuja kwaajili ya wenye haki, bali wenye dhambi".Yesu Kristo alikula na wadhambi, alishirikiana na wadhambi bila yeye kuwa na dhambi.
OMBI: Naomba nimkumbushe Pengo kuwa anapotoa kauli zake ajue kuku yeye ni mchungaji wa wema na wabaya. Ajue kuwa Mungu anawapenda watu wote bila ubaguzi.Hii ni aibu kwa mtu msomi wa Teolojia kama Pengo kukurupuka na kuanza kuropoka hovyohovyo namna hii.Atambue kuwa Raisi ndiyo kiongozi mkuu wa nchi, hivyo inastahili heshima zake. Pengo aache kuropoka ropoka hovyo hovyo kama mlevi.Mbona maaskofu wenzake wamekaa kimya? Yeye ni nani?
hapo kwenye red mkuu utata upi?kwani ukweli ndio utata, na ubaguzi unaousema unatokana na wewe kutokuelewa!!!moma2k;3599224]Naomba niliweke sawa hili na ieleweke kuwa msemaji mkuu wa Kanisa katoliki Tanzania ni Mwenyekiti wa TEC kwa sasa Mhashamu askofu Ruwaichi ambaye pia ni Askofu mkuu wa Mwanza. Hii ni kwa mujibu wa sheria za Kanisa(Canon Law). Pengo kazi yake ni kushauri Papa(Baba Mtakatifu huko Rome) na si vinginevyo. Cheo cha kiutendaji alicho nacho hapa nchini ni Askofu Mkuu wa Jimbo la DSM. Ukardinali haumpi mamlaka ya kuwa msemaji mkuu wa Kanisa katoliki Tanzania hata mara mmoja. Hivyo kisheria kama kweli amesema maneno hayo basi hayo yanabaki kuwa maoni na mtazamo wake binfsi. Huu siyo matazama wala maoni ya Kanisa Katoliki Tanzania. Jamii ya watanzania inatakiwa kuzipuuza kauli nyingi zilizojaa utata na ubaguzi anazotoa Kardinali Pengo.Hayo yanabaki kuwa maoni yake binafsi kama Pengo.
Siku ya tukio;
hapo mkuu umechemka au niseme hujaelewa mada, kuwakaribisha aliwakaribisha akasema atakaye jisikia kuonge au kutoa hotuba anakaribishwa?Askofu Mkuu Ruwaichi alikuwepo.
Askofu Ruwaichi alitoa hotuba.
Askofu Ruwaichi aliwakaribisha watu wote, bila kauli yoyote ya ubaguzi kama anayosema Pengo.
nachoona hapa ni chuki binafsi dhidi ya pengo, misimamo ya pengo kuhusu imani na mambo mengine, kama kufuatwa kwa utaratibu hana uroho wa madaraka, kama ni hivyo basi na mapadre waache kuongelea mambo ya kanisa-watakuwa na uroho wa madaraka? unafikiri ukadinari unagawiwa kama pipi? ubabe wake ofcourse unatokana na msimamo wake...kwa asili kanisa lina ubabe..hakuna demokrasia kanisani la sivyo mtatulete habari za mapadre wawe wanapigiwa kuraNote well:-Kardinali Pengo asiingilie kazi ya mwenyekiti wa TEC.
-Kardinali Pengo aache uroho wa madaraka, hana Locus Standi katika hili.
-Kardinali Pengo ana ubabe wa kizamani ambao umepitwa na wakati.
-Kardinali Pengo anapenda kujikweza kana kwamba yeye ndo MUNGU wa watanzania.
hapa mkuu pia uko 'chaka' hakuna aliyesema lowassa mdhambi na hivi atengwe, utaratibu ufuatwe, simple!!! yeye alikuwa nai pale? kwa hiyo kama wenye dhambi tunakaribishwa ndio tuwe kimberembere, yesu pia alisema ^8"Kama mtu akikualika arusini, usiketi mahali pa heshima isije ikawaNeno la MUNGu: Yesu Kristo yeye mwenyewe alisema: "Sikuja kwaajili ya wenye haki, bali wenye dhambi".Yesu Kristo alikula na wadhambi, alishirikiana na wadhambi bila yeye kuwa na dhambi.
wewe mwenyewe kusema hayo maneno hujafikiria, then fikiria kuna roho ngapi zingekata tamaa/zilikata tamaa EL aliporuhusiwa kuongea? hizo roho ni worthless kulinganisha na huyo lowassa?