OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,139
- 12,882
Hellow wakuu,
Naamini uwepo wa limbwata kwani ni kitu ambacho ninakifahamu kwa experience (empirical knowledge)
Nadhani mmewahi kusikia story kuhusu Limbwata, mfano mume kumfumania mke na asifanye kitu chochote kibaya kama vile mauaji au kulawiti mgoni wake badala yake anaamua kumsamehe mke na kumpenda zaidi kwa kumsaidia kazi za ndani kama vile kupiga deki, kuosha vyombo, kuogesha watoto n.k
Pia nadhani mmewahi kusoma ktk vyombo vya habari au kushuhudia mume akitenda makosq ya jinai kwa kumuia mke aliyemfumania/mke msaliti kisa hasira au kumlawiti mgoni (jawara).
Kinachofanya mtu kuua kwa makusudi au kutenda jinai ni "mihemuko" au hasira ambazo ni chemical zinazalishwa mwilini na kumwagwa ktk mzunguko wa damu hormones kama vile adrenaline na noradrenaline
Hizo hormones hapo juu zikiwa controlled, mtu huwa na utulivu wa akili na hufanya maamuzi bila haraka wala mihemko (emotional intelligence)
Kama mume aliyepewa limbwata na mke wake anaweza kumsamehe na kumpenda zaidi mke wake wa ndoa aliyemfumania bila kuleta madhara yoyote, basi limbwata ni anti emotions hormones, yaani inacontrol adrenaline na noraadrenaline insmpa mtu high emotional intelligence quotient.
Mfano mtu akupige kofi kisha umtizame tu bila kumfanya chochote wala kusema tusi lolote.
Limbwata ni dopamine na endorphines chemicals (happy chemicals), (hisia zangu)
Limbwata hutengenezwa kutoka ktk miti shamba mbali mbali ambayo miti yake inafahamika kwa kilugha kulingana na eneo ulilopo. (Hii ni topic nyingine)
Limbwata huchanganywa na harufu ya mtu anayeimiliki, kisha hutumika kwa target (mlengwa)
Mlengwa akipewa kwa njia ya chakuls su ngono huzalisha hormones za furaha kwa wingi (endorphine na dopamine) kwa kupitia condition reflex action pattern (rejea mfano wa pavlov na kengele)
Limbwata hutumika kwenye njia ya uke/uume au mdomo (oral route).
Point kubwa ya huu uzi ni kama ifuatavyo
Kama limbwata itatumika kama tunavyotumia chumvi kwenye chakula au mboga , yaani iwe kama ingredients. Iwe utaratibu kwa kila mtu kila siku
Basi kuna uwezekano wa kuwa na jamii isiyo na jinai (world without crimes)
Watu watapendana, watathaminiana watasaidizana kwa upendo wote
Nakaribisha maswali na mitizamo tofauti
Nawasilisha.