Huja JF-Expert Member Joined Aug 7, 2021 Posts 1,365 Reaction score 2,118 Jan 22, 2023 #1 Habari jamii forum... Mwenye ujuzi wa kupata GADGETS za saa na calender katika window 10 kama ilivyo katika window 7... Please....
Habari jamii forum... Mwenye ujuzi wa kupata GADGETS za saa na calender katika window 10 kama ilivyo katika window 7... Please....
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,807 Reaction score 61,670 Jan 23, 2023 #2 Windows 7 (Ultimate) & ndiyo windows bora kabisa kuwahi kutokea zilizofuata ni ujinga ujinga tu, bloatwares kibao vitu muhimu havipo
Windows 7 (Ultimate) & ndiyo windows bora kabisa kuwahi kutokea zilizofuata ni ujinga ujinga tu, bloatwares kibao vitu muhimu havipo
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,228 Reaction score 44,234 Jan 24, 2023 #3 dronedrake said: Windows 7 (Ultimate) & ndiyo windows bora kabisa kuwahi kutokea zilizofuata ni ujinga ujinga tu, bloatwares kibao vitu muhimu havipo Click to expand... Kama unatumia windows kama urembo maybe, ila direct X12 tu ina make win 10 worth it.
dronedrake said: Windows 7 (Ultimate) & ndiyo windows bora kabisa kuwahi kutokea zilizofuata ni ujinga ujinga tu, bloatwares kibao vitu muhimu havipo Click to expand... Kama unatumia windows kama urembo maybe, ila direct X12 tu ina make win 10 worth it.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,228 Reaction score 44,234 Jan 24, 2023 #4 Huja said: Habari jamii forum... Mwenye ujuzi wa kupata GADGETS za saa na calender katika window 10 kama ilivyo katika window 7... Please.... Click to expand... Install Rainmeter Rainmeter, desktop customization tool Rainmeter allows you to display customizable skins on your desktop, from hardware usage meters to fully functional audio visualizers. You are only limited by your imagination and creativity. www.rainmeter.net Halafu weka modern gadgets ModernGadgets 1.8.2 - Rainmeter Forums forum.rainmeter.net Itakuja kitu kama hiki alternative win 11 ina Widgets
Huja said: Habari jamii forum... Mwenye ujuzi wa kupata GADGETS za saa na calender katika window 10 kama ilivyo katika window 7... Please.... Click to expand... Install Rainmeter Rainmeter, desktop customization tool Rainmeter allows you to display customizable skins on your desktop, from hardware usage meters to fully functional audio visualizers. You are only limited by your imagination and creativity. www.rainmeter.net Halafu weka modern gadgets ModernGadgets 1.8.2 - Rainmeter Forums forum.rainmeter.net Itakuja kitu kama hiki alternative win 11 ina Widgets
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,909 Reaction score 193,846 Jan 24, 2023 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,555 Reaction score 74,363 Jan 24, 2023 #6 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Muongozo Umetolewa