Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,619
- 2,717
Yupo anaisoma namba..Kuna mpuuzi mwingine aliejiita LIZABONI, siku hizi sijui nae Yuko wapi
Yupo anaisoma namba..Kuna mpuuzi mwingine aliejiita LIZABONI, siku hizi sijui nae Yuko wapi
Mbona anaishi kwa makafir hko Canada si ahamie uarabuni hukoHuyu bibi mdini sana awezi kusifia uongozi wa kafiri
Hahahahaha ila afadhali wamepotea kwasababu mabandiko yao ya kidini yalikuwa yananikera sanaMbona anaishi kwa makafir hko Canada si ahamie uarabuni huko
Ova
Bado Jerry Muro, Musiba, Kafulila na Machali! Hawa bado wanasikilizia teuzi ila kwa machale sana ingawa kati yao Musiba amejitoa ufahamu kabisaaa.Ngo'mbe aso mkia
Teh teh mambo ya udini ni hatari sanaHahahahaha ila afadhali wamepotea kwasababu mabandiko yao ya kidini yalikuwa yananikera sana
Kila mmoja anatumika kwa kipindi chake... Wakimalizana naye anatupwa kama toilet paperBado Jerry Muro, Musiba, Kafulila na Machali! Hawa bado wanasikilizia teuzi ila kwa machale sana ingawa kati yao Musiba amejitoa ufahamu kabisaaa.
Tena kafiri anayekula kitimoto .Huyu bibi mdini sana awezi kusifia uongozi wa kafiri