Jinsi jamii inavyowahadaa Wanawake

Kingereza
 
Hayo maswali yako yanaonyesha hujazingatia mada. Anyway rudi hoja #12 hapo juu nimejaribu kumuelekeza uhalisia Mstahiki Mea

By the way mimi ni mseminari sio kobaz πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜³
 
Kingereza
ChatGPT:

Kuhusu dawa za msongo wa mawazo (antidepressants), unaona suala la jinsia (gender), mimi naona ni suala la kuwepo (existential issue), linalowatesa watu wa nchi za ulimwengu wa kwanza, lakini sasa kutokana na utandawazi, limekuwa suala la dunia nzima.

Huwezi kuwa mtu wa kufikiria vitu kwa mtazamo wa kimada (materialistic), kimada kabisa (materialist), au kwa mtazamo wa kisababishi tu (deterministic) halafu usitarajie kurukwa na akili.

Tumekataa asili yetu ya kweli, ile asili yetu ya kiroho na inayotufikisha juu zaidi ya hapa duniani. Tumemkana Chanzo chetu β€” Mungu wetu. Tumekataa kuukubali ukweli ambao unaweza kutuweka huru.

Sasa tumekwama katika nafasi ya uwongo na finyu tuliyojifungia kwa upumbavu wetu, tukijaribu kila uwezekano wa kupata maana, lakini mwisho wake tunaporomoka kwenye hali ya kukosa maana, tukilazimika kutegemea vidonge ili kuvumilia siku moja zaidi.
 
Mfundishe kujitegemea kabla hajaingia kwenye mambo ya kifamilia hii itamsaidia kutokuwa mtumwa
Ntamfundisha kuheshimu watu wote Duniani hususani wanaume, mengine yatakuwa ndani yake. Hawezi kujitegemea hapa ulimwenguni kama hawezi kuheshimu wanaume.
 
Sitapenda, but haiondoi ukweli kwamba asili ya mwanamke ni kumuintertain mwanaume na kumlelea watoto baasi, haya mengine ni mipango ya shetwani tuu.
Kwa namna ninavyomheshimu mama yangu, ngoja niheshimu wanawake,.nikiwaheshimu wataniheshimu. Nitamfunza binti yangu siku zote kuwa na heshima na wanaume. Sidhani kama nitaeleweka.
 
Wengi ni single mother ,wengi hawaoloweki (huwezi kuoa)
Sisi tutakula tu vito-bo na kupotea zetu
 
Mmmmmmmmmmmmmmmh haya bhan
 
Sitapenda, but haiondoi ukweli kwamba asili ya mwanamke ni kumuintertain mwanaume na kumlelea watoto baasi, haya mengine ni mipango ya shetwani tuu.
Halafu naomba nikufahamishe kwamba hiyo entertainment unayosema ni scam. Heshima ndo jambo la msingi kuliko yote.
 
Kwa namna ninavyomheshimu mama yangu, ngoja niheshimu wanawake,.nikiwaheshimu wataniheshimu. Nitamfunza binti yangu siku zote kuwa na heshima na wanaume. Sidhani kama nitaeleweka.
Mbona unaenda mbali. Hatujasema wanawake wasiheshimiwa, tena inapswa waheshmiwe na kupendwa kweli kweli. Lakini hili la lulazimisha usawa baina ya mtu mume na mtu mke ni kimyume cha asili ya binadamu. Mwanamke anahitaji mambo matatu tuu kutoka kwa mwanaume - Kupendwa, kusikilizwa na kuhudumiwa. Ila mwanaume anahitaji jambo moja tuu kutoka kwa mwanamke - UTIIFU.
 
Maisha unayoishi ndo reflection ya maisha ya watoto wako, unless awepo mmoja aliyechaguliwa na sheria za ulimwengu kuwa tofauti na maisha unayoishi/unayofundisha watoto wako. Mengine tuache nature iendelee ku flow
 
Ok. Hapo nimekuelewa mkuu. Nakushukuru, upo sahihi. Asante sana.
 
Nimeipenda ufafanuzi wako mkuu umeeleza vizuri sana
 
Kiuhalisia mwanamke aliumbwa kumtumikia mwanaume katika leisure occasions tu, na sio kuwa sehemu ya kumiliki chumi za dunia.
Mdau unayejiita Black nyeti naona umeweka angry β€œπŸ˜‘β€ kwenye hii post,labda ulitaka kusemaje na wewe?tunakusikiliza!
 
Nyie ni wanyanyasaji wa kijinsia kabisa yaaaani
Umethibitisha alichoandika mleta mada pale juu,ku-play victims ni hulka yenu ila inaposemwa kumtumikia mwanaume siyo ukamuogeshe ni wewe kufanya yale aliyoyanzisha wakati ule hayupo.
 
Umethibitisha alichoandika mleta mada pale juu,ku-play victims ni hulka yenu ila inaposemwa kumtumikia mwanaume siyo ukamuogeshe ni wewe kufanya yale aliyoyanzisha wakati ule hayupo.
Sijasoma uzi wote kozi ni mrefu sana. Alafu hapo mbona umekoza
 
Kutokujitambua tu. Wanaojitambua hawaigi vitu bila kuhoji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…